Home
Unlabelled
jeshi la masnepu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
we peke yako unakitambi,hata kufunga kamba za viatu huwezi. mambo yako mazuri hapo deli nyuzi.
ReplyDeleteKitambi hakifai, ni muhimu to get rid of. Otherwise utapata matatizo wakati fulani.
ReplyDeletekweli bwana kinazui sana wakati wa kumpiga kipara mamaa!
ReplyDeletehalafu huyo makene ndiye anaetukanaga watu na kujificha kwa kivuli cha anonimas.
ReplyDeletehafali kama hizi wavalishe vizuri vijana wako sio vijitshirt, wape mashati mazuri suruali za kupendeza na hivyo vikofia vya hovyo vyote vivuliwe. kazi mtindo mmoja.
ReplyDeletehata mie nakubaliana na anon hapo juu kwamba mchafuzi humu ni makene.
ReplyDeletena uhakika ni nao.
We Michuzi, mambo gani sasa ya kujifanya koffi olomide? yaani huwezi kuvaa sare na vijana wako kwa nini????
ReplyDeleteAlafu babu kuwa unafuta vumbi la kiatu mara moja moja....Vipi bwana Director
ReplyDeleteKumbukeni comments hizi zinasomwa worldwide,hivyo tumieni lugha ya busara.
ReplyDeleteHaswa bwana Abtwalibu. Heshima na taadhima.
ReplyDeletehalafu mwambie huyo mmoja awe anachomekea, ana busha nini?
ReplyDeletejamani watanzania mbona mnakosa adabu hivi??? Watu wazima mnakaa na kuandika maneno ya hovyo namna hii badala ya kumpa moyo mtanzania mwenzenu.
ReplyDeleteMichuzi ughabapilikisyaga abajanga haba, bali nu bufi itolo. Just continue with the good work. Some of us are really proud of you and we are supporting you hundred percent.