kikosi cha maangamizi cha photo point company ltd. tayari kuingia msituni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. we peke yako unakitambi,hata kufunga kamba za viatu huwezi. mambo yako mazuri hapo deli nyuzi.

    ReplyDelete
  2. Kitambi hakifai, ni muhimu to get rid of. Otherwise utapata matatizo wakati fulani.

    ReplyDelete
  3. kweli bwana kinazui sana wakati wa kumpiga kipara mamaa!

    ReplyDelete
  4. halafu huyo makene ndiye anaetukanaga watu na kujificha kwa kivuli cha anonimas.

    ReplyDelete
  5. hafali kama hizi wavalishe vizuri vijana wako sio vijitshirt, wape mashati mazuri suruali za kupendeza na hivyo vikofia vya hovyo vyote vivuliwe. kazi mtindo mmoja.

    ReplyDelete
  6. hata mie nakubaliana na anon hapo juu kwamba mchafuzi humu ni makene.
    na uhakika ni nao.

    ReplyDelete
  7. We Michuzi, mambo gani sasa ya kujifanya koffi olomide? yaani huwezi kuvaa sare na vijana wako kwa nini????

    ReplyDelete
  8. Alafu babu kuwa unafuta vumbi la kiatu mara moja moja....Vipi bwana Director

    ReplyDelete
  9. Kumbukeni comments hizi zinasomwa worldwide,hivyo tumieni lugha ya busara.

    ReplyDelete
  10. Haswa bwana Abtwalibu. Heshima na taadhima.

    ReplyDelete
  11. halafu mwambie huyo mmoja awe anachomekea, ana busha nini?

    ReplyDelete
  12. jamani watanzania mbona mnakosa adabu hivi??? Watu wazima mnakaa na kuandika maneno ya hovyo namna hii badala ya kumpa moyo mtanzania mwenzenu.
    Michuzi ughabapilikisyaga abajanga haba, bali nu bufi itolo. Just continue with the good work. Some of us are really proud of you and we are supporting you hundred percent.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...