rais amani abeid karume akiongoza katika kusoma hitma ya hayati sheikh abeid amani karume leo unguja. leo ni siku ya mapumziko kukumbuka siku aliyouawa mzee karume

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kupoteza muda tu baada ya kwenda makazini watu wanakaa majumbani utadhani Tanzania ni USA nchi tajiri duniani.

    ReplyDelete
  2. Wabongo wavivu kishenzi! Yaani sasa hivi itatokea SOKOINE DAY!

    ReplyDelete
  3. kesho tu kutakuwa na KAWAWA DAY. uvivu tu

    ReplyDelete
  4. Kufumba na kufumbua MICHUZI DAY. Nyie subirini tu.

    ReplyDelete
  5. KOLIMBA DAY LINI JAMANI?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2006

    HIYO NDIO NCHI YETU NA FAHARI YETU!NA MAREKANI SIO KWETU HATA KUKIWA KUZURI VIPI!SAA HIZI WASHENZI WAMESHAANZA KUSEMA MA-FOREIGNERS NDIO CHANZO CHA UHARIFU KWENYE NCHI ZAO!SINA UHAKIKA KAMA WAZUNGU WANA POINT HATA ROBO YA UTAKATIFU!NAWACHUKIA!SAMAHANI MNAOWAFAGILIA WAZUNGU KULIKO WAZEE WENU!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...