Home
Unlabelled
karume dei
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kupoteza muda tu baada ya kwenda makazini watu wanakaa majumbani utadhani Tanzania ni USA nchi tajiri duniani.
ReplyDeleteWabongo wavivu kishenzi! Yaani sasa hivi itatokea SOKOINE DAY!
ReplyDeletekesho tu kutakuwa na KAWAWA DAY. uvivu tu
ReplyDeleteKufumba na kufumbua MICHUZI DAY. Nyie subirini tu.
ReplyDeleteKOLIMBA DAY LINI JAMANI?
ReplyDeleteHIYO NDIO NCHI YETU NA FAHARI YETU!NA MAREKANI SIO KWETU HATA KUKIWA KUZURI VIPI!SAA HIZI WASHENZI WAMESHAANZA KUSEMA MA-FOREIGNERS NDIO CHANZO CHA UHARIFU KWENYE NCHI ZAO!SINA UHAKIKA KAMA WAZUNGU WANA POINT HATA ROBO YA UTAKATIFU!NAWACHUKIA!SAMAHANI MNAOWAFAGILIA WAZUNGU KULIKO WAZEE WENU!
ReplyDelete