haya tena

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Michuzi nitumie e-mail chemiche3@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. Wee Chemichemponda aidha akili yako si nzuri au unajifanya. Huyu Bwana Michuzi ameianika email yake kwa yeyote anayetaka kuwasiliana nae. Sasa kwanini usimwandikie tu badala ya kutafuta mabwana wengine humu ili wakuandikie? Tumia akili

    ReplyDelete
  3. Anony,
    Chemi ana mme wake tena Mchungaji, hawezi kutafuta mabwana humu. Pia ni mtoto mrembo sana si unaicheki midomo hiyo, hivyo anatafutwa siyo anatafuta. Hata hivyo nimeupenda ushauri wako, Michuzi katoa e mail yake mara kibao humu lilikuwa ni swala tu la yeye kumwandikia na kueleza masahibu yake.

    ReplyDelete
  4. Tusubiri tuone kama na yeye hatoenda kucheza juu ya meza kama alivyofanya Mr.Nice kule Ohio,Marekani.

    ReplyDelete
  5. wewe ndesanjo na wewe kujifanyaga kutetea mambo ya ajabu urembo unahusiana nini humu ndani na uzembe aliofanya.

    ReplyDelete
  6. chemi mi nilisham disqualify siku nyingi tu mbona,nyinyi ndo mnagundua leo kuwa mchemfu huyo...
    uzuri wa sura siyo busara,ndo maana viongozi wengi huoa wake wa kawaida sana....coz upstairs(kichwani)kuko safi...

    ReplyDelete
  7. jamani chemi ni dadaangu, halahala jamani. nimefanya naye kazi deilinuizi miaka kama nane hivi, kabla hajaenda marekani. ni binti na mtoto mkubwa wa prof. alec chemponda, mama yake ni mmarekani. hivyo naomba msimsakame, au vipi bandugu bapenzi?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 01, 2006

    Nadhani hakuna mtu aliyemsakama zaidi ya kumweleza ukweli tu. Mtu ambaye umefanya naye deiliniuizi miaka 8, mtoto wa prof na mama yake mmarekani hana contacts zako!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2006

    Yaani hapo michuzi na wewe hujaeleweka...hayo maelezo hayaelezi kwa nini chemi kafanya upumbavu huo humu ndani...kuwa mtoto wa kwanza au wa mwisho,wa mmarekani au wa mchaga sio warrant ya kuandika pumba humu...
    huyo ni limbukeni anapenda publicity,mi nshamjua.......fala tu huyo

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 01, 2006

    Huyu chemi ndiye yule chiku wa kule YA. Anapenda sana attention na mboroz!! Hana kazi na anafahamika kutemebeza porojo za ngono na riwaya uchwara za ngono kuanzia usubuhi hadi usiku wa maanane. Halafu eti kaolewa na mchungaji na ana watoto wakubwa!! Mwangalie sura kaa mama yake Mike Tyson!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 01, 2006

    Jamani Huyu dada kaomba tuu atumiwe Email hakuna kosa lolote hapa. kwani ukimwambia mtu akupigie simu ina maana huna number yake? ......

    ReplyDelete
  12. chemi, mambo. vipi huko. naona si mabaya. unakuja lini bongo. tume-kumiss kweli. cheki email yako, nakutumia yangu kama ulivoomba. nakutakia maisha mema...

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 02, 2006

    Dada Chemi pole sana.
    Hao ndiyo watu na hasa WABONGO.Nashindwa kuelewa hasa tatizo lao ni nini? Hebu piga moyo konde na usonge mbele.Wao ndiyo wabaya.Kwanini wao hawajitambulishi.Kama ulivyo fanya wewe.Kwa umri na eksipojha ulionayo nadhani haya hayatakukatisha tamaa.Ima ni utoto au ni ulimbukeni.Lakini ninaomba usijibizane nao kwani utakuwa unapoteza muda wako.Hivi mtu anasema unatafuta mabwana kwa kueleza mikasa mizito ya maisha kama ule wa kwako.Lakini kupitia kwako ninapenda kumpongeza Michuzi kwa kutowajali.
    Pole sana dada yetu bado tuko nawe.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 02, 2006

    Teh teh teh teh,
    Michuzi unamfanya Chemi kama mtoto vile, yaani umeamua kumwandikia hadharani ili kumfurahisha sawa na tunavowafurahisha watoto wadogo kwa lawalawa!! kwi kwi kwi
    Chemi umefurahi email ya public hiyo??? hahahaa kweli kuishi kuona mengi!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 14, 2006

    Chemi that is pure publicity stunt if all you wanted was email adress what was your picture for then eh?
    Any way that was a good movie and as there are no Public Enqiery in Tanzania why not use Michuzi s blog for PR excersize eh ? nice try

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 17, 2006

    msenge tu huyo,halafu kila moni anayoandika lazima aseme "unajua hapa Boston pako hivi na hivi,..."pumbafu sana wewe,umeshaona nani humu kataja sehemu alipo?unafikiri boston ndo nini bwana,unajua ushamba ni mambo mengi....unajua mtu hata kama umevaa chupi ya gharama kiasi gani,ukishaitaja hadharani kuwa unajua chupi hii nilovaa bei yake kali sana tayari thamani yake inaishia hapohapo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...