huyu ndiye brigedia jenerali zawadi madawili, mwanamke mwenye cheo cha juu kuliko wanawake wote jwtz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. jamani anatabasamu huyoo........wakubwa wanaraha!

    ReplyDelete
  2. hAROO HIVI UMETEAGA MUKOA GANI WEWE KUJA HAPA, KAA CHINI? UNARETA ZA KURETA SIO? SAFI SANA MAMA KAZI NJEMA MAMA

    ReplyDelete
  3. we makene pumbavu kabisa, sijui umeandika nini hapo

    ReplyDelete
  4. kwani wewe ndio unajua leo kuwa huyu makene ni pambavu mbona watu tumelielewa hilo siku nyingi tuu.

    hovyo sana alfu anjifanya mjuaji sana pambavu kwelikweli

    ReplyDelete
  5. Pole sana Mwaipopo kwa kutumiwa jina lako kunitukana mimi. Hapo wangejaribu kutumia jina lingine na sio wewe ambaye twawasiliana kwa ukaribu kuliko mtu yeyote. Kazaneni jamani kuuondoka ujinga kwahitaji jamii itambue kwanza huu mjinga na kisha ikueleze! Kama jamii itakaa kimya na kutokukuambia ugonjwa wako je utapaswa kuipa adhabu gani na hasa unapotaka kujificha ili jamii hiyo isikutambue kuwa una kasoro ili ikukosoe? Je jitihada maridhawa hazijengwi na tashwishi la kufahamu na kisha kupanga kududio chanya la kufikia urazini? Je ni maana ya ucheshi, utani na kejeli hasa zifanywapo bila kujificha? Tangu kale mambo makubwa waliachiwa wenye weledi na wanazuo na sisi akina kalaghabao tukaachwa tuhangaike na vijimaisha vyetu ambavyo hata sasa vimetushinda kuhimili. Safari itaendelea huwezi kuwa mgenzi duniani hapa, imani thabiti juu ya utambuzi, uganguzi na ugunduzi zinabaini makosa mengi zaidi kabla jambo halijawa. Kwa nini nisikitike kuitwa mjinga, mpumbavu au juha? Wana heri sana wanaowaita wenzao hivyo maana huwafunza kutafuta mkondo mpya wa maisha. Lakini na hao wakumbuke kuwa fungu lile lile wapimalo kwa wenzao ndilo watakalopimiwa! Cheza karata yako inawezekana!

    ReplyDelete
  6. Makene nimekupata vema. Ni watani zetu hawa. Wajomba na shangazi zetu ndio waliowaleta hapa duniani ila hawakuwapa malezi bora na hawakuwafundisha kuhusu kuishi na watu. malezi bora simaanishi malazi, makazi na mavazi.Hapana. Maana hivyo vipo tu, waweza vipata hata kwa kukwapua sehemu fulani,au hata ofisini. Namaanisha upeo wa maono. Mkono ukinyewa mavi na mtoto haukatwi abadan. Bali wasafishwa tu.

    ReplyDelete
  7. Hataka kama mimi nimeingia kama anony lakini nadhani sasa ni wakati muafaka kwa Michuzi kuzuia watu kuingia kwa jinsi hii. Inakera sana, inatia kinyaa na inasikitisha sana watu wanapoanza kuporomosha kugha chafu kwa sababu ndio lugha pekee waliyokuta kwa wazazi wao. Michuzi picha ni elimu tosha hata kama hakutakuwa na comments za wajinga wajinga. Ni wakati wa kuchukua hatua sasa, na hongera kwa uvumilivu.

    ReplyDelete
  8. makene na mwaipopo ni majinga kabisa, yanajifanya yanajua sana, kumbe goigoi yakutupa...
    haya ndio yale majitu wakati wa shule yana kremu kremu, alafu yanajiona yana akili.
    kwanini msitumiane email, private, kuliko kujibizana humu wewe na mwaipopo?
    majitu kama haya Diki Cheni anapiga risasa za usoni fia mbali.
    timbuktu

    ReplyDelete
  9. Hilo suala la dick cheney kupiga risasi za usoni mbona na wewe umelikremu kupitia vyombo vya habari? Na pia Cheney alikiri kosa alilofanya hakukusudia kumuathiri rafiki yake wakati alipokuwa akiwinda kule Texas, inaonyesha namna usivyo mjuzi hata wa kutumia mifano kusapoti hoja zako

    ReplyDelete
  10. kumbe anony umegundua eee huyo makene na mwaipopo wanatukanana kwa vivuli vya anonimous alafu wanajifanya wametukanwa ili waanzishe mijadala yao ya kiwendawazimu. tumewagundua ndio nyie mnaotukana watu alafu mnajifanya mmetukanwa.

    wacheni tabia mbaya.

    we makene na mwaipopo kila saa weledi weledi kwendeni uuuuuuko.

    wanamatusi wakubwa nyie.

    ReplyDelete
  11. michuzi waambie hawa kina makene na mapopo wasije tena humu, wanachafua hali ya hewa.
    nyie kazi kujiffanya anon ili mtukane watu,, sisi watanzania bwana, na ni nchi ya tatu kwa uspy duniani, uspay wetu humu umegundua kuwa ni nyie, tokeni kabla hatujaja kuwaingilia kinyama nyama miilini mwenu.
    chaka spy

    ReplyDelete
  12. namfahamu sana huyu mama na familia yake. Watu wazuri sana. Mume wake ana cheo kikubwa jeshini pia.

    ReplyDelete
  13. Hii blogu sasa imekuwa ni uwanja wa malumbano naona kina dada wamevaa kanga kiunoni wanapeana maneno yasiokuwa na maana wacheni hizo tai na masuti makubwa joto loto hili bongo weka casual mjomba huo sio usomi ni uji.........

    ReplyDelete
  14. we anon hapa juu ni mwaipopo

    ReplyDelete
  15. ni kweli kabisa huyu makene anamatusi sana. na sasa tumekugundua wacheni kabisa mambo yenu ya ajabu ajabu. mnatukera sana.

    na ile picha yako uliyotuwekea kwenye blogu yako ya casino wacheza uchi iliyoko canada kwa jina la zanzibar ndio imetudhihirishia kabisa kama unapenda matusi sana.

    alafu unajifanya eti mtu unajificha tutakusaidiaje matatizo yako(hayo uliyosema hapo juu) wakati wewe ndio ulikua unajitahidi kujificha lakini tumekukamata.

    wacha hizo jitahidi kuacha utoto.

    ReplyDelete
  16. na huyu pumbavu mwingine mwaipopo anjifanya mkene nimekupata vizuri, utakosa vipi kumpata wakati chama chenu ni kimoja cha kutukana watu.

    matusi club.

    na michuzi pia mnamtukana akiweka picha mumtutukane.

    jamani naona ni utoto tuu mkikua mtaacha.

    ReplyDelete
  17. Makene na Mwaipopo,
    Sikuwa najua awali uzito wa mlichokuwa mnakiongea kuhusu tatizo hili la watu kutumia kivuli cha anonymous kuandika matusi mazito namna hii. Sikuelewa! Lakini sasa nimejionea mwenyewe! Nimesiskitishwa sana. Na imeniuma sana.

    Nimefikiri mengi kuhusu watu hawa: Hivi ni watu wa aina gani? Kwa nini unaandike matusi badala ya mawazo ya maana au uatani wakawaida? Hili ni tatizo la kisaikolojia. Kwamba mtu anahisi hajafikia anakotaka kwenda na bahati mbaya anaona wengine wamezidi hata anapotaka kwenda, anajidharau. Matokeo ya kujidharau huko ndio kuanza kuchukua hatua zisizo na mantiki kama kuwatuna hao waliomzidi upeo.

    Haina haja ya kukata tamaa Makene. Mtu hata angekwambia nini hiyo haikuondolei dhamani uliyonayo. Hata kama angekutukana sana, hiyo haisaidii kukupunguzia maono uliyonayo. Haina haja ya kukata tamaa.

    Nadhani wakati umefika hawa anonymous wathibitiwe. Nimeona kwenye Blogu ya Mwaipopo kitu kama utatuzi wa tatizo hili. Sijaelewa amefanya vipi na anonymous ila nadhani amefanikiwa kupata ufumbuzi.

    Nashauri Mwaipopo utusaidie na sisi ili kuondoa kero hii isiyopendeza hata kidogo. Watu kuuandika maneno haya haipendezi na inarudisha nyuma teknolojia hii. Naomba kuwasilisha ombi kwako ewe Mwaipopo.

    ReplyDelete
  18. Jamani jitahidini kuheshimiana, maana hii blogu ipo kwa ajili ya kujifunza, kuelimisha pia kuburudisha. Sasa ndugu zetuni ambao mnaona matusi au maneno yasiyokuwa ya busara hapa ndio mahala pake, tafadhalini tunawaomba sana mjizuie kidooogoo, ili tuendelee kupata burudani kama ilivyokuwa AWALI.

    Ahsanteni.

    ReplyDelete
  19. mmmm na huyu bwaya cn na passporti size yake, naona ndio hao hao kina makene,, kesho anaficha jina anatukana,, ndio hao hao matusi club. tutawawinda na kuwamaliza kwa niabaya michuzi, na wala hatuitaji malipo.mcheche

    ReplyDelete
  20. wewe bwaya na wewe tunaona uko matusi club. hayaa endelea tuu tumeshawajua ndi nyie nyie.

    ReplyDelete
  21. JAMANI JAMANI NDUGU ZANGU WAKUBWA NA WADOGO NAWAOMBA TUWEZE KUTUMIA LUGHA ZILIZO NZURI NA TUWEZE KUTUMIA HII TECHNOLOGY KUWEZA KUELIMISHANA NA KUJENGA HII JAMII YA KITANZANIA NA MUA-FRICA KWA UJUMLA.

    MIMI AU WASOMAJI WENGINE HATUWEZI KUENDELEA AU KUPATA MAFANIKIO YOYOTE KAMA TUKIBAKI KUTUKANANA WENYEWE KWA WENYEWE. HII TECHNOLOGY NI NZURI NA NI MBAYA KAMA IKITUMIKA VIBAYA.

    HUDUMA HII YA BLOG ENDAPO ITATUMIKA VIZURI JAMII YOTE YA MTANZANIA INAWEZA KUENDELEA NA KUFANIKIWA MAANA WENGINE MNAWEZA KUFUNGUA BLOG KWA KUFUNDISHANA KUHUSU ELIMU, KUHUSU KILIMO, UVUVI AU KUPASHANA HABARI.

    NARUDIA TENA NAWAOMBA TUWEZE KUTUMIA LUGHA NZURI KWA MANUFAA YETU SOTE PAMOJA NA KIZAZI CHETU CHA SASA NA KIJACHO.

    NADHANI SITOKUWA NIMEWAUDHI BAADHI YA WASOMAJI WENGINE, KAMA MTAKUWA MMEUDHIKA KWA YOTE NAWAOMBA MNIWIE RADHI. UKWELI UTABAKI UKWELI.

    MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.

    NASHUKURU,
    ©2006 MK

    ReplyDelete
  22. Kuna siku nilifanya interview na huyo mama. Nikamwuliza kuna wanawake wangapi maafisa katika JWTZ. Kaniambia kuwa, hawezi kujibu hiyo swali maana ni nyeti.

    Je, kuna wanawake wangapi maafisa JWTZ? Sawa yeye ana cheo kikubwa, je, wanawake wengine wapata nafasi ya kupanda cheo? Je wanapanda cheo kama wanaume?

    ReplyDelete
  23. we chemponda na wewe acha politics hapa,unasema michuzi aje akuchukue portrait uiweke wapi?unajiona mtu muhimu sana eenh?mambo binafsi msiwe mnayaweka kwenye blogu....
    matakoyanyoka.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...