Home
Unlabelled
zawadi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani anatabasamu huyoo........wakubwa wanaraha!
ReplyDeletehAROO HIVI UMETEAGA MUKOA GANI WEWE KUJA HAPA, KAA CHINI? UNARETA ZA KURETA SIO? SAFI SANA MAMA KAZI NJEMA MAMA
ReplyDeletewe makene pumbavu kabisa, sijui umeandika nini hapo
ReplyDeletekwani wewe ndio unajua leo kuwa huyu makene ni pambavu mbona watu tumelielewa hilo siku nyingi tuu.
ReplyDeletehovyo sana alfu anjifanya mjuaji sana pambavu kwelikweli
Pole sana Mwaipopo kwa kutumiwa jina lako kunitukana mimi. Hapo wangejaribu kutumia jina lingine na sio wewe ambaye twawasiliana kwa ukaribu kuliko mtu yeyote. Kazaneni jamani kuuondoka ujinga kwahitaji jamii itambue kwanza huu mjinga na kisha ikueleze! Kama jamii itakaa kimya na kutokukuambia ugonjwa wako je utapaswa kuipa adhabu gani na hasa unapotaka kujificha ili jamii hiyo isikutambue kuwa una kasoro ili ikukosoe? Je jitihada maridhawa hazijengwi na tashwishi la kufahamu na kisha kupanga kududio chanya la kufikia urazini? Je ni maana ya ucheshi, utani na kejeli hasa zifanywapo bila kujificha? Tangu kale mambo makubwa waliachiwa wenye weledi na wanazuo na sisi akina kalaghabao tukaachwa tuhangaike na vijimaisha vyetu ambavyo hata sasa vimetushinda kuhimili. Safari itaendelea huwezi kuwa mgenzi duniani hapa, imani thabiti juu ya utambuzi, uganguzi na ugunduzi zinabaini makosa mengi zaidi kabla jambo halijawa. Kwa nini nisikitike kuitwa mjinga, mpumbavu au juha? Wana heri sana wanaowaita wenzao hivyo maana huwafunza kutafuta mkondo mpya wa maisha. Lakini na hao wakumbuke kuwa fungu lile lile wapimalo kwa wenzao ndilo watakalopimiwa! Cheza karata yako inawezekana!
ReplyDeleteAsante kwa picha Michuzi.
ReplyDeleteMakene nimekupata vema. Ni watani zetu hawa. Wajomba na shangazi zetu ndio waliowaleta hapa duniani ila hawakuwapa malezi bora na hawakuwafundisha kuhusu kuishi na watu. malezi bora simaanishi malazi, makazi na mavazi.Hapana. Maana hivyo vipo tu, waweza vipata hata kwa kukwapua sehemu fulani,au hata ofisini. Namaanisha upeo wa maono. Mkono ukinyewa mavi na mtoto haukatwi abadan. Bali wasafishwa tu.
ReplyDeleteHataka kama mimi nimeingia kama anony lakini nadhani sasa ni wakati muafaka kwa Michuzi kuzuia watu kuingia kwa jinsi hii. Inakera sana, inatia kinyaa na inasikitisha sana watu wanapoanza kuporomosha kugha chafu kwa sababu ndio lugha pekee waliyokuta kwa wazazi wao. Michuzi picha ni elimu tosha hata kama hakutakuwa na comments za wajinga wajinga. Ni wakati wa kuchukua hatua sasa, na hongera kwa uvumilivu.
ReplyDeletemakene na mwaipopo ni majinga kabisa, yanajifanya yanajua sana, kumbe goigoi yakutupa...
ReplyDeletehaya ndio yale majitu wakati wa shule yana kremu kremu, alafu yanajiona yana akili.
kwanini msitumiane email, private, kuliko kujibizana humu wewe na mwaipopo?
majitu kama haya Diki Cheni anapiga risasa za usoni fia mbali.
timbuktu
Hilo suala la dick cheney kupiga risasi za usoni mbona na wewe umelikremu kupitia vyombo vya habari? Na pia Cheney alikiri kosa alilofanya hakukusudia kumuathiri rafiki yake wakati alipokuwa akiwinda kule Texas, inaonyesha namna usivyo mjuzi hata wa kutumia mifano kusapoti hoja zako
ReplyDeletekumbe anony umegundua eee huyo makene na mwaipopo wanatukanana kwa vivuli vya anonimous alafu wanajifanya wametukanwa ili waanzishe mijadala yao ya kiwendawazimu. tumewagundua ndio nyie mnaotukana watu alafu mnajifanya mmetukanwa.
ReplyDeletewacheni tabia mbaya.
we makene na mwaipopo kila saa weledi weledi kwendeni uuuuuuko.
wanamatusi wakubwa nyie.
michuzi waambie hawa kina makene na mapopo wasije tena humu, wanachafua hali ya hewa.
ReplyDeletenyie kazi kujiffanya anon ili mtukane watu,, sisi watanzania bwana, na ni nchi ya tatu kwa uspy duniani, uspay wetu humu umegundua kuwa ni nyie, tokeni kabla hatujaja kuwaingilia kinyama nyama miilini mwenu.
chaka spy
namfahamu sana huyu mama na familia yake. Watu wazuri sana. Mume wake ana cheo kikubwa jeshini pia.
ReplyDeleteHii blogu sasa imekuwa ni uwanja wa malumbano naona kina dada wamevaa kanga kiunoni wanapeana maneno yasiokuwa na maana wacheni hizo tai na masuti makubwa joto loto hili bongo weka casual mjomba huo sio usomi ni uji.........
ReplyDeletewe anon hapa juu ni mwaipopo
ReplyDeleteni kweli kabisa huyu makene anamatusi sana. na sasa tumekugundua wacheni kabisa mambo yenu ya ajabu ajabu. mnatukera sana.
ReplyDeletena ile picha yako uliyotuwekea kwenye blogu yako ya casino wacheza uchi iliyoko canada kwa jina la zanzibar ndio imetudhihirishia kabisa kama unapenda matusi sana.
alafu unajifanya eti mtu unajificha tutakusaidiaje matatizo yako(hayo uliyosema hapo juu) wakati wewe ndio ulikua unajitahidi kujificha lakini tumekukamata.
wacha hizo jitahidi kuacha utoto.
na huyu pumbavu mwingine mwaipopo anjifanya mkene nimekupata vizuri, utakosa vipi kumpata wakati chama chenu ni kimoja cha kutukana watu.
ReplyDeletematusi club.
na michuzi pia mnamtukana akiweka picha mumtutukane.
jamani naona ni utoto tuu mkikua mtaacha.
Makene na Mwaipopo,
ReplyDeleteSikuwa najua awali uzito wa mlichokuwa mnakiongea kuhusu tatizo hili la watu kutumia kivuli cha anonymous kuandika matusi mazito namna hii. Sikuelewa! Lakini sasa nimejionea mwenyewe! Nimesiskitishwa sana. Na imeniuma sana.
Nimefikiri mengi kuhusu watu hawa: Hivi ni watu wa aina gani? Kwa nini unaandike matusi badala ya mawazo ya maana au uatani wakawaida? Hili ni tatizo la kisaikolojia. Kwamba mtu anahisi hajafikia anakotaka kwenda na bahati mbaya anaona wengine wamezidi hata anapotaka kwenda, anajidharau. Matokeo ya kujidharau huko ndio kuanza kuchukua hatua zisizo na mantiki kama kuwatuna hao waliomzidi upeo.
Haina haja ya kukata tamaa Makene. Mtu hata angekwambia nini hiyo haikuondolei dhamani uliyonayo. Hata kama angekutukana sana, hiyo haisaidii kukupunguzia maono uliyonayo. Haina haja ya kukata tamaa.
Nadhani wakati umefika hawa anonymous wathibitiwe. Nimeona kwenye Blogu ya Mwaipopo kitu kama utatuzi wa tatizo hili. Sijaelewa amefanya vipi na anonymous ila nadhani amefanikiwa kupata ufumbuzi.
Nashauri Mwaipopo utusaidie na sisi ili kuondoa kero hii isiyopendeza hata kidogo. Watu kuuandika maneno haya haipendezi na inarudisha nyuma teknolojia hii. Naomba kuwasilisha ombi kwako ewe Mwaipopo.
Jamani jitahidini kuheshimiana, maana hii blogu ipo kwa ajili ya kujifunza, kuelimisha pia kuburudisha. Sasa ndugu zetuni ambao mnaona matusi au maneno yasiyokuwa ya busara hapa ndio mahala pake, tafadhalini tunawaomba sana mjizuie kidooogoo, ili tuendelee kupata burudani kama ilivyokuwa AWALI.
ReplyDeleteAhsanteni.
mmmm na huyu bwaya cn na passporti size yake, naona ndio hao hao kina makene,, kesho anaficha jina anatukana,, ndio hao hao matusi club. tutawawinda na kuwamaliza kwa niabaya michuzi, na wala hatuitaji malipo.mcheche
ReplyDeletewewe bwaya na wewe tunaona uko matusi club. hayaa endelea tuu tumeshawajua ndi nyie nyie.
ReplyDeleteJAMANI JAMANI NDUGU ZANGU WAKUBWA NA WADOGO NAWAOMBA TUWEZE KUTUMIA LUGHA ZILIZO NZURI NA TUWEZE KUTUMIA HII TECHNOLOGY KUWEZA KUELIMISHANA NA KUJENGA HII JAMII YA KITANZANIA NA MUA-FRICA KWA UJUMLA.
ReplyDeleteMIMI AU WASOMAJI WENGINE HATUWEZI KUENDELEA AU KUPATA MAFANIKIO YOYOTE KAMA TUKIBAKI KUTUKANANA WENYEWE KWA WENYEWE. HII TECHNOLOGY NI NZURI NA NI MBAYA KAMA IKITUMIKA VIBAYA.
HUDUMA HII YA BLOG ENDAPO ITATUMIKA VIZURI JAMII YOTE YA MTANZANIA INAWEZA KUENDELEA NA KUFANIKIWA MAANA WENGINE MNAWEZA KUFUNGUA BLOG KWA KUFUNDISHANA KUHUSU ELIMU, KUHUSU KILIMO, UVUVI AU KUPASHANA HABARI.
NARUDIA TENA NAWAOMBA TUWEZE KUTUMIA LUGHA NZURI KWA MANUFAA YETU SOTE PAMOJA NA KIZAZI CHETU CHA SASA NA KIJACHO.
NADHANI SITOKUWA NIMEWAUDHI BAADHI YA WASOMAJI WENGINE, KAMA MTAKUWA MMEUDHIKA KWA YOTE NAWAOMBA MNIWIE RADHI. UKWELI UTABAKI UKWELI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA.
NASHUKURU,
©2006 MK
Kuna siku nilifanya interview na huyo mama. Nikamwuliza kuna wanawake wangapi maafisa katika JWTZ. Kaniambia kuwa, hawezi kujibu hiyo swali maana ni nyeti.
ReplyDeleteJe, kuna wanawake wangapi maafisa JWTZ? Sawa yeye ana cheo kikubwa, je, wanawake wengine wapata nafasi ya kupanda cheo? Je wanapanda cheo kama wanaume?
we chemponda na wewe acha politics hapa,unasema michuzi aje akuchukue portrait uiweke wapi?unajiona mtu muhimu sana eenh?mambo binafsi msiwe mnayaweka kwenye blogu....
ReplyDeletematakoyanyoka.com