Home
Unlabelled
benchi la simba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kulia kabisa nadhani ni Amri Said "Kalomba"
ReplyDeleteMbrazil body language yake ni kama vile anajiuliza 'nianze wapi na hawa?' Bora sisi YANGA tuna mwelekeo.
ReplyDeleteMichuzi unanikumbasha long time sana. Iddi Pazi 'Father' mmoja wa magolikipa bora kaisa kuwa kutokea Bongo. Enzi hizo Simba wakipata penalti ni goli maana mpigaji alikuwa Pazi na kumbukumbu zinaonyesha hajawahi kukosa penalti, kama ambavyo Hussein Marsha hajawahi kukosa. Ee bwana Michuzi kwanza Hussein Marsha yuko wapi?
ReplyDeleteKocha huyo inaelekea anajisemea, "sidhani kama hawa jamaa wanafundishika."
ReplyDeleteSimba wa yuda, msema kweli, kocha Kaduguda kibarua kwisha ota majani. Nilikuwa nashangaa uwezekano wa Wambura na Kaduguda kuwa ndani ya ofisi moja
ReplyDelete