kocha mbrazil wa simba na wasaidizi wake. shoto ni kocha msaidizi mwina kaduguda. mwenye nyeupe ni iddi pazi 'faza' kipa wa zamani simba na sasa anasaidia kufundisha baada ya kurejea toka ughaibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2006

    Kulia kabisa nadhani ni Amri Said "Kalomba"

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2006

    Mbrazil body language yake ni kama vile anajiuliza 'nianze wapi na hawa?' Bora sisi YANGA tuna mwelekeo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2006

    Michuzi unanikumbasha long time sana. Iddi Pazi 'Father' mmoja wa magolikipa bora kaisa kuwa kutokea Bongo. Enzi hizo Simba wakipata penalti ni goli maana mpigaji alikuwa Pazi na kumbukumbu zinaonyesha hajawahi kukosa penalti, kama ambavyo Hussein Marsha hajawahi kukosa. Ee bwana Michuzi kwanza Hussein Marsha yuko wapi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2006

    Kocha huyo inaelekea anajisemea, "sidhani kama hawa jamaa wanafundishika."

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2006

    Simba wa yuda, msema kweli, kocha Kaduguda kibarua kwisha ota majani. Nilikuwa nashangaa uwezekano wa Wambura na Kaduguda kuwa ndani ya ofisi moja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...