leo ni mei mosi na kama ilivyo kawaida kila sikukuu wakazi wengi wa kipato cha chini hadi cha kawaida wa dar hufurika hapa - kwa kukosa sehemu ingine kwa kwenda ukiacha kumbi za starehe na kontena

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2006

    michuzi kuna picha nyingi nimeziangalia kwa furaha lakini hii inanitia uchungu wa ajabu nashindwa kuiangalai mara mbili kila nikikumbuka yanayotokea kwenye hayo maji kila wakati.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2006

    Hii ni Oysterbay Beach??/ au ndio inaitwa Coco tena.Wabongo inabidi tujifunze kucheza na maji kwani kila tunavyo ya kwepa matokeo yake tunayajua VIFO!! Inasikitisha sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2006

    Hii sehemu inanikumbusha mbali sana kipindi hicho ukienda siku ya j,pili utawaona mabishoo na magari yao yakitwanga muziki na mademu wakijipitisha kama hawana akili nzuri kwa mabishoo lakini sasa hivi nimefurahishwa na vijana wengi kuingia kwenye fani za kutafuta wenyewe sio kuwategemea wazazi kwa pesa walizokuwa nazo ok niggas lets make money
    Kitonga..said

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2006

    Ni afadhali mara mia mtu aende hapa na familia badala ya kushinda sikukuu kwenye vikontena!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 04, 2006

    kuna wazungu huko? maana wao wakiangaza kufika maeneo hayo mtaona sharks! wanapenda hao ndugu zetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...