ni jumapili nami nimepaki hom nakula siesta. tatizo uswazi kulala mchana soo. si makelele hayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2006

    We acha tu Bro Michuzi kupumzika mchana unaitaji moyo maana kibanda changu hakina silingboard ni bati tu na jua la kwetu unavyolifahamu si la mchezo na sehemu ninaoishi kuna uwnja wa cha ndimu kelele na vifijo vya wanandimu kamwe uwezi kulala lakini iposiku nami nitakuwa kwenye maeneo ya ustaarabu au sio wanablogu.
    Kitonga....said

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2006

    wanablog wote wanapiga kura ya veto kuwa hili swali ni LAZIMA ulijibu mkuu......je hapo ni kwako kweli?

    ReplyDelete
  3. Nimempenda huyo mtoto anayechukua time... ule mkono sijui kuna kitu kaficha?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2006

    We Michuzi,achana na wasema mbovu.Inakera,hiyo ni tabia chafu ya wachache wasiopenda maendeleo na mafanikio ya wachache Mimimhuwa hunioni,ila kila siku niko kuchungulia yanayojili homu kupitia kwako.Ukitaka kujua baadhi ya Wa-TZ zimedata fungua:www.tanemb.se(kwenye maoni,watu wamepachika web za ngono)un-believable!Kwa nini kama mtu hana jema asitulie tu,au kama anajisikia kuandika ujinga kwa nini asiwaandikie wazazi wake,dada na kaka zake ili wajivunie malezi waliyotoa?INAKERA!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2006

    mbona sijaona ktk hiyo web hayo matusi mnayo sema.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2006

    Ingia kwenye maoni!Unachoka kudadisi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...