Home
Unlabelled
hom
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
We acha tu Bro Michuzi kupumzika mchana unaitaji moyo maana kibanda changu hakina silingboard ni bati tu na jua la kwetu unavyolifahamu si la mchezo na sehemu ninaoishi kuna uwnja wa cha ndimu kelele na vifijo vya wanandimu kamwe uwezi kulala lakini iposiku nami nitakuwa kwenye maeneo ya ustaarabu au sio wanablogu.
ReplyDeleteKitonga....said
wanablog wote wanapiga kura ya veto kuwa hili swali ni LAZIMA ulijibu mkuu......je hapo ni kwako kweli?
ReplyDeleteNimempenda huyo mtoto anayechukua time... ule mkono sijui kuna kitu kaficha?
ReplyDeleteWe Michuzi,achana na wasema mbovu.Inakera,hiyo ni tabia chafu ya wachache wasiopenda maendeleo na mafanikio ya wachache Mimimhuwa hunioni,ila kila siku niko kuchungulia yanayojili homu kupitia kwako.Ukitaka kujua baadhi ya Wa-TZ zimedata fungua:www.tanemb.se(kwenye maoni,watu wamepachika web za ngono)un-believable!Kwa nini kama mtu hana jema asitulie tu,au kama anajisikia kuandika ujinga kwa nini asiwaandikie wazazi wake,dada na kaka zake ili wajivunie malezi waliyotoa?INAKERA!
ReplyDeletembona sijaona ktk hiyo web hayo matusi mnayo sema.
ReplyDeleteIngia kwenye maoni!Unachoka kudadisi?
ReplyDelete