rais wa zanzibar amani abeid karume akila kiapo mbele ya jaji mkuu wa tanzania barnabas samatta kuchukua nafasi yake ya kikatiba katika baraza la mawaziri la jamhuri ya muungano wa tanzania ikulu leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2006

    Zemarcopolo!! Huyu ndugu ananafasi ya kuhudhuria vikao vya baraza la mawaziri la mwungano. Inaelekea hujasoma sana katiba ya Jamhuri ya Mwungano wa Tanzania. Omba msaada kwa Mheshimiwa Amina Chifupi na Mheshimiwa sana MTIKILA the great!! Revd.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2006

    Jamani ina maana muda wote tangu uchaguzi uishe mpaka leo ilikuwa bado kuapishwa huyu jamaa funy. Cabinet Secretariat si ilishakaa mara kibao tangu uchaguzi ina maana alikuwa haudhurii au? Kaka Michuzi tafadhali hebu tupe ufafanuzi vizuri hapa vinginevyo huko nyumbani tutakuwa bado tunaendesha mambo kienyeji mno.

    ReplyDelete
  3. Wajameni katiba ndio hio bonyeza hapa kuipata.

    Mnaweza kuisoma kwa zaidi.

    Nashukuru,
    ©2006 MK

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2006

    grill, labda walisahau! Itakuwa kichekesho uchunguzi ukifanyika tukagundua amehudhuria vikao kadhaa kwa miezi hii 4 iliyopita.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...