Home
Unlabelled
kiapo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Zemarcopolo!! Huyu ndugu ananafasi ya kuhudhuria vikao vya baraza la mawaziri la mwungano. Inaelekea hujasoma sana katiba ya Jamhuri ya Mwungano wa Tanzania. Omba msaada kwa Mheshimiwa Amina Chifupi na Mheshimiwa sana MTIKILA the great!! Revd.
ReplyDeleteJamani ina maana muda wote tangu uchaguzi uishe mpaka leo ilikuwa bado kuapishwa huyu jamaa funy. Cabinet Secretariat si ilishakaa mara kibao tangu uchaguzi ina maana alikuwa haudhurii au? Kaka Michuzi tafadhali hebu tupe ufafanuzi vizuri hapa vinginevyo huko nyumbani tutakuwa bado tunaendesha mambo kienyeji mno.
ReplyDeleteWajameni katiba ndio hio bonyeza hapa kuipata.
ReplyDeleteMnaweza kuisoma kwa zaidi.
Nashukuru,
©2006 MK
grill, labda walisahau! Itakuwa kichekesho uchunguzi ukifanyika tukagundua amehudhuria vikao kadhaa kwa miezi hii 4 iliyopita.
ReplyDelete