hoteli ya ufukweni ya kunduchi kama inavoonekana leo baada ya kubinafsishwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2006

    nasikia hii hoteli sasa hivi ni five star.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2006

    Bongo sasa hivi misehemu ya kujipumzisha kibao kweli kweli tatizo hela tu kutopatikana.

    ReplyDelete
  3. Michuzi hii habari ya kubinafsishwa mbona hatujaisikia mapema?

    Nani amechukua hiyo nafasi na kwa asilimia ngapi?

    Na watz tumebakia na asilimia ngapi?

    Je ni mtanzania ndie aliye ichukua au mtu toka nje ya nchi? Na kwa gharama kiasi gani?

    Ni habari nzuri lakini kila kitu Tanzania kinabinafsishwa, je tutabakia na nini kama mali yetu?

    Ni maswali tu, Kama majibu unayo au wasomaji wengine wanayo ningefurahi kuyapata.

    Nadhani sitokuwa nimewaudhi baadhi ya wasomaji wengine, Kama mtakuwa mmeudhika kwa yote nawaomba mniwie radhi.

    Nashukuru,
    ©2006 MK

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2006

    MAKOPOLO NA GIRILI mie naombeni anwani zenu sijyu mtanipaje manake wanga wataanza kuwaandikia wakati niliyewaomba ni mimi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...