hivi ndivyo kadege ketu ka rais kanavoonekana kwa ndani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2006

    kandege kadogo ila kamependeza kwelikweli.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2006

    Kadege kachafu tu kulinganisha na thamani yake ata haileti majibu. wezi hapo wamekula pesa ya wananji.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2006

    Michuzi serikali ilitumia kiasi gani kununua hii Jet?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2006

    24million pounds British aid?????!!!!!! na bado kuna watu wana shida ya maji, barabara mbovu,watoto wanashindwa kwenda shule sababu ya njaa!!!!? kadege kazuri, kweli ni kazuri mdhee!!!! mhhhh waliotoa msaada hawakufurahi???!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2006

    15Million Pounds, according to Guardian Unlimited special report of July 22, 2002. The World bank people were not pleased at all. They thought our Government could have used less money, and allocate the funds to the more important projects.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2006

    Waziri mkuu wa UK anatumia British airways basi na jk nae apande ATC!! hatovunjika miguu. Anony nashukuru kwa facts. Its in the same range anayway! kadege ka mhishimiwa kadhuli mmmhhh!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 09, 2006

    Zemarcopolo,
    Haya ni maswala ya priority. Hata kama ndege ya zamani haikuwa na spare priority yetu ni kidege hicho. Hata kama ilikuwa nia ni kununua ndege, yafaa nini kununua ndege ya kubeba watu dozen wakati misafara yetu huwa karibu watu hamsini. Tunarudi kulekule, Rais na wapambe wake wanapanda humo halafu ujumbe mwingine unapanda first class Swissair, KLM, British airways n.k
    Hapo bado hicho kidege kinaweza kutua Dar, Kilimanjaro, Mtwara na Mwanza pekee, sasa huko kwingine Rais atapanda Hood, Super star au Shabiby?

    ReplyDelete
  8. soma habari ya bei ya hiyo ndege ktk toleo la gazeti hili la Issa Michuzi toleo la mwezi wa tatu.

    Bonyeza hapa kusoma zaidi yaliyo andikwa ktk maoni na bei yake kuwekwa hapo.

    Nashukuru,
    ©2006 MK

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 10, 2006

    HAKUNA KULALAMIKIA BEI YA NDEGE WALA NINI,WE KAZANA KUSOMA UJE UPANDE "BITO"AU"CHATA"TUONE!VITU VYENYEWE VYA MSIMU ALAFU UJITESE,SA SI HIVI JK. NAYE ANAFWAHIDI?TUACHE MAWAZO YA KIMASIKINI!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 11, 2006

    kulalama kama kawa au umelizika kula matembele kila siku?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...