Home
Unlabelled
ndani ya kadege ketu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kandege kadogo ila kamependeza kwelikweli.
ReplyDeleteKadege kachafu tu kulinganisha na thamani yake ata haileti majibu. wezi hapo wamekula pesa ya wananji.
ReplyDeleteMichuzi serikali ilitumia kiasi gani kununua hii Jet?
ReplyDelete24million pounds British aid?????!!!!!! na bado kuna watu wana shida ya maji, barabara mbovu,watoto wanashindwa kwenda shule sababu ya njaa!!!!? kadege kazuri, kweli ni kazuri mdhee!!!! mhhhh waliotoa msaada hawakufurahi???!
ReplyDelete15Million Pounds, according to Guardian Unlimited special report of July 22, 2002. The World bank people were not pleased at all. They thought our Government could have used less money, and allocate the funds to the more important projects.
ReplyDeleteWaziri mkuu wa UK anatumia British airways basi na jk nae apande ATC!! hatovunjika miguu. Anony nashukuru kwa facts. Its in the same range anayway! kadege ka mhishimiwa kadhuli mmmhhh!!
ReplyDeleteZemarcopolo,
ReplyDeleteHaya ni maswala ya priority. Hata kama ndege ya zamani haikuwa na spare priority yetu ni kidege hicho. Hata kama ilikuwa nia ni kununua ndege, yafaa nini kununua ndege ya kubeba watu dozen wakati misafara yetu huwa karibu watu hamsini. Tunarudi kulekule, Rais na wapambe wake wanapanda humo halafu ujumbe mwingine unapanda first class Swissair, KLM, British airways n.k
Hapo bado hicho kidege kinaweza kutua Dar, Kilimanjaro, Mtwara na Mwanza pekee, sasa huko kwingine Rais atapanda Hood, Super star au Shabiby?
soma habari ya bei ya hiyo ndege ktk toleo la gazeti hili la Issa Michuzi toleo la mwezi wa tatu.
ReplyDeleteBonyeza hapa kusoma zaidi yaliyo andikwa ktk maoni na bei yake kuwekwa hapo.
Nashukuru,
©2006 MK
HAKUNA KULALAMIKIA BEI YA NDEGE WALA NINI,WE KAZANA KUSOMA UJE UPANDE "BITO"AU"CHATA"TUONE!VITU VYENYEWE VYA MSIMU ALAFU UJITESE,SA SI HIVI JK. NAYE ANAFWAHIDI?TUACHE MAWAZO YA KIMASIKINI!
ReplyDeletekulalama kama kawa au umelizika kula matembele kila siku?
ReplyDelete