Home
Unlabelled
ofisi bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii ni safi sana. unajua mtu ukitoka ughaibuni inabidi ufanye kazi kwenye ofisi zinazoeleweka. mambo ya ofisi bubu yamepitwa na wakati.
ReplyDeleteKaka Michuzi mimi nauliza mtimkubwa yupo wapi mbona kasusa hivi wanablog tunamiss maoni yake wasiliana naye basi tujue yupo mzima wa afya tele.
ReplyDeleteKitonga ...said
Kaka Michuzi mimi nauliza mtimkubwa yupo wapi mbona kasusa hivi wanablog tunamiss maoni yake wasiliana naye basi tujue yupo mzima wa afya tele.
ReplyDeleteKitonga ...said
mtimkubwa umesikia hayo???? au unakacha madongo kama mwaipopo (hahaha natania) jitokeze yakhe. watu wamekumiss ati
ReplyDeleteWote tupo ila tunatumia Anonymous kwa sababu mmezidi kutuandama hatuna hata raha
ReplyDeleteNdugu Kitonga,
ReplyDeleteMiye nipo, nimetamakani kama kisiki, gugu, au kizingiti. Muhidini, nafahamu wazi kuwa anaiona kila siku nikipita kwenye uwanja wake.
Muhidin, pole sana kwa dema lako kuingiliwa na mamba, na ndoano zako kuvua mikunga. Hayo yasikukatishe tamaa bali yakuongezee nguvu na ari ya kufanya yaliyo mema. Tupo wengi tunaokuunga mkono.
Tuzidi kuwasilina,
F MtiMKubwa Tungaraza.