huyu ni mustapha khataw mkurugenzi mkuu wa skylink travels na wakala wa avis nchini. watu wengi siku hizi wana ofisi za kisasa kama hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2006

    hii ni safi sana. unajua mtu ukitoka ughaibuni inabidi ufanye kazi kwenye ofisi zinazoeleweka. mambo ya ofisi bubu yamepitwa na wakati.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2006

    Kaka Michuzi mimi nauliza mtimkubwa yupo wapi mbona kasusa hivi wanablog tunamiss maoni yake wasiliana naye basi tujue yupo mzima wa afya tele.
    Kitonga ...said

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2006

    Kaka Michuzi mimi nauliza mtimkubwa yupo wapi mbona kasusa hivi wanablog tunamiss maoni yake wasiliana naye basi tujue yupo mzima wa afya tele.
    Kitonga ...said

    ReplyDelete
  4. mtimkubwa umesikia hayo???? au unakacha madongo kama mwaipopo (hahaha natania) jitokeze yakhe. watu wamekumiss ati

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2006

    Wote tupo ila tunatumia Anonymous kwa sababu mmezidi kutuandama hatuna hata raha

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 07, 2006

    Ndugu Kitonga,

    Miye nipo, nimetamakani kama kisiki, gugu, au kizingiti. Muhidini, nafahamu wazi kuwa anaiona kila siku nikipita kwenye uwanja wake.

    Muhidin, pole sana kwa dema lako kuingiliwa na mamba, na ndoano zako kuvua mikunga. Hayo yasikukatishe tamaa bali yakuongezee nguvu na ari ya kufanya yaliyo mema. Tupo wengi tunaokuunga mkono.

    Tuzidi kuwasilina,
    F MtiMKubwa Tungaraza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...