Home
Unlabelled
twiga staz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mmoja wao alikufa maskini!!!
ReplyDeleteDah...! hawa ni Twiga au Yanga? sielewi hebu nisaidieni
ReplyDeleteNa hao waume zao wako na kazi kwani wanawake hata kaulaini kwa mbali hawana!..........
Hii mi naona ni yanga, (Twiga - Jangwani) + njano = Yanga. Teh tehe teh. Kwanini wau wasiwe wabunifu walau jezi zikawa zinareflect huyo twiga tunayemsema?
ReplyDeleteTwiga wamevaa jezi za njano na mistari ya kijani kwa kuwa bendera ya TZ ina hizo rangi. Hii ni timu ya taifa.
ReplyDeleteBendera ya taifa ina rangi mbili tu!? Taifa gani hilo unalosema weye? Hebu rudia tena tena masomo yako ya uraia na jiografia.
ReplyDelete