Home
Unlabelled
mapesa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tabia ya kuchimba dawa inatia aibu sana,especial kukiwa na wageni kutoka nchi zilizoendelea,wanashangaa sana hichi kitendo cha watu 50 kushuka na kwanda kuharibu mazingira,kwa watu wenye akili ya biashara huu unaweza kuwa mradi mzuri kwa kuanzisha vyoo safi vya kulipia,ila ujambazi du hawakawii kuja kukukaba huko huko na mradi wako wa choo,but i bet some one can make a lot of money for this.
ReplyDeleteMichuzi alivyosema mh ni kweli kabisa na wakati mwingine ni hatari wacha tuu.Siku moja nikiwa safarini dar-nairobi-dar mama mmoja wa makamo almanusura achangamkiwe na mnyama mkali huko vichakani nyakati za jionijioni hivi sijui alikuwa ni fisi au nyang'au yule?! ilikuwa patashika nguo kuchanika!Huku ughaibuni mabasi yote ya masafa marefu yana vyoo na viyoyozi,pia karibu kila kituo cha mafuta kina vyoo,mgahawa na wakati mwingine hata viduka vidogo,ten ni biashara nzuri tuu!Nafikiri watu kama shell ,bp,total nk wanaweza kulishugulikia hili kam wafanyavyo huko makwao.
ReplyDeleteKweli kabisa utaratibu wa haraka inapidi ufanyike maana, tunajidanganya tunaendelea wakati bado tunajisaidia vichakani ni aibu sana na jambo la kusikitisha, nadhani kabla ya kuamua kujengamajengo yanayo cost mamilioni ya pesa serikali ingefikiria mambo kama haya.
ReplyDeletetusikimbilie kufanya makubwa wakati yale madogo na ya msingi yanatushinda.
unadhani watu watakojoa ndani ya iko choo basi!!watakojoa nyuma ya ukuta..iko choo labda waweke mlinzi wa kuwachunga watu..kwa wenzangu labda mlisoma mitaa ya azania na tambaza..vile vyoo vyetu nadhani mnakumbuka hali ilikuwaje na hapo ni katoikati ya mji mpaka vikawa vinafungwa..si kwa ajiri hawapendi vitumiwe..ni watu wenyewe ustaarau hamna bora kuchimba dawa..wakasaidia kwanza muhimbili kununulia wagonjwa mashuka mapya..yaani waziri alikuwa anaenda bungeni hapo kabanwa na mkojo kakosa pa kukojoa ndo kapata wazo la kuchangia..
ReplyDeleteni wazo zuri..kama sio alibanwa na choo wakati anaenda bungeni na kupata wazo hapo hapo..maana hao wazee nao hawakumbuki pia muhimbili wagonjwa wanahitaji mashuka na dawa...ila nakuwa na wasiwasi hivyo vyoo watu kama hawajavikimbia au kuleta kipindupindu..maana kwa watu labda mlisoma mitaa ya azania na tambaza ivi..vile vyoo vyetu mpaka vilikuwa vinafungwa si kwa nia mbaya watu wasitumie ila watu ni ustaarabu hakuna..mpaka wanafunzi wenyewe tulikuwa tunakojoa nyuma ya choo unakojolea ukuta..ndani hapatamaniki..sasa na kama kule porini dodoma huo mradi wa kuvuta maji ya kupeleka kwenye ivyo vyoo..si itakuwa tabu wakati barabara zenyewe zinawashinda kutengeneza.
ReplyDeleteAnony wa kwanza hapo juu ni mpumbavu sana wewe. Wewe wasiwasi wako ni wageni wako tuu waliotoka nchi zako zilizoendelea na siyo usafi na ustaharabu wa kimaendeleo ya binadamu. Mbona hao wageni wako wa nchi zako zilizoendelea hawatahiriwi na sisi hatuwashangai? Fanya mambo ya kimaendeleo kwa ajili yako na jamii yako na wala siyo kwa kuwafurahisha wageni wako wa nchi zako zilizoendelea. Kiwete wa akili wee
ReplyDeleteuna nini na wanyakyusa wewe? very arrogant people.
ReplyDelete