Home
Unlabelled
tausi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya basi kuja kujitambulisha lakini mbona haonekani kama mlimbwende jamani, kakomaa. haya hongera lakini dada hongera.
ReplyDeletekwa anony hapo juu...
ReplyDeleteTausi ni mwonesha mitindo ya mavazi.. na kufanya kazi hii sio lazima kwamba uwe na urembo wa miss world. Ila uwe na mvuto wa kipekee utakaofanya watu wakuangalie mara 2, 3.
Ila ukiachana na hayo, dada huyu still analipa sana tu, sema labda picha hiyo hapo haijamtoa. Angalia picha zake zingine kama sehemu hii:
http://www.tausidreams.com/t_books.php
Ila cha kufurahisha zaidi kwa Mrs. Likokola (ndio kaolewa) amabye amekuwa akiishi na kufanya kazi zake nchini Ujerumani kwa muda sasa ni kuwa uzuri wake ni zaidi ya Urembo tu.. ni akili pia. Yeye ni mwenyekiti wa mfuko wa kusaidia walioathirika na ukimwi na pia ni mtunzi wa kitabu cha The African Princess"
pia shule imelala hapo sio kichwa maji kama baadhi ya warembo wetu.
Peter umenifurahisha sana kumsifia huyu dada maana tumezoea kuona watu wanawaponda tu hawa dada zetu, jamani siku nyingine muwe mnafagilia ingawa kuponda ni njia moja wapo ya kurekebishana
ReplyDeleteNashukuru Rhxoqsa na Emergencypoison.. eeehh bwana mi naamini toa sifa panapostahili. Na penye kosa kosoa... madongo yapo kama utani au kama njia ya kurekebisha watu wasiokwenda sawa. Ila saa nyingine inakuwa kama vile watu wanakuja kk blogu hii (na nyingineze) na tovuti kadhaa za majadiliano kutafuta pa kuponda tu.
ReplyDeleteKaka yangu Emerg nimefurahi kumbahatisha kijana mwingine wa Mzumbe hapa. Jina kamili nani lakini maana profile yako inasema tu "emergencypoison" hehe. Mi nipo Kanada; nishtue ktk peternali@hotmail.com... unaweza tembelea blogu yangu pia: wakatinihuu.blogspot.com
wewe peter acha bwana, unanyemelea nini hapo pia? Maana inakuwa kama umefanya hii topic kama personal. Ni maoni tu yangu binafsi nilivyoona maana huyu dada simjui, na labda ni kweli kama ulivyosema ni mzuri sana ila picha hii haijamtoa vizuri. Basi nitatembelea hii sehemu uliyoitoa ili nimuone vizuri. Asante.
ReplyDelete