mnara mpya wa kuongozea meli unamea mkabara na feri, hivyo ukija bongo usije ukashangaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2006

    Mkabara ndio nini?
    Wanataka kuweka bridge nini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2006

    Na kama brigde si itabidi liwe la kufunguka? Sababu ya meli?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2006

    Ukiwa juu ya huo mnara si mtu ataweza unamchungulia Kikwete akiwa chooni Ikulu Magogoni? hehehe

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2006

    hhahahha Emergencypoison...Ila there is nothing wrong with asking kitu labda kasahau jamani...ila kuna mtu alikaa nje miaka minne aliporudi yuko uuummmm hiiivii uuum what is please in swahili again!!Ebwana ilibidi nicheke maana mie niliezaliwa huku niseme nini sasa...hovyooooo hovyooo kabitha!!Be proud y'all kama Lion King wanatumia Hakuna matata...Moesha wanatumia ninakupenda nyie...mnajifanya I don't know..something vitu gani nini...kiungo cha mchuzi kiungo cha mchuzi ndiiiiiiim mpaka mnara wa Dar!!Michuzi pulizi endeleze education ya miss educated na mapikcha

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2006

    Jamani yaani wengine mawazo yao ni kuchungulia watu tabia mbaya hiyo na mpunguze mawazo dhaifu. you perver....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...