Home
Unlabelled
unbea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Lakini nafikiri wanasema kuwa inapungua kwa sababu haikua namna hiyo miaka ya 70 bwana Michuzi na inapungua sana.
ReplyDeleteYAANI NYIE MNATAKA KUNIAMBIA HAMJUI KITU KINAITWA GLOBAL WARMING? AU NDIO NYIE MNAPITWA NA ULIMWENGU? MAISHA YANAWAISHI BADALA YA KUYAISHI? NI VITU AMBAVYO VINASIKIKA SANA KWENYE VYOMBO INTERNATIONAL VYA HABARI, NA MPAKA FILM ZINATOLEWA KILA LEO ABOUT IT!
ReplyDeleteBwana Michuzi ni ukweli kuwa theluji inayeyuka tena kwa kasi kubwa. Mimi binafsi nilifika Uhuru Peak Nov, 2000 na angalia picha hii:
ReplyDeletehttp://ptanali.8k.com/myalbum/kili_mz.html
na uniambie kama kuna theluji hapo. Kiwango cha theluji kinatofautiana kutegemea na ni wakati gani wa mwaka; miezi ya joto huwa kinapungu zaidi ya miezi ya baridi. Hapo naona ulikutia siku nzuri kiasi. Na pia ukiwa mbali theluji inaonekana nyingi... nenda karibu utaona jinsi kulivyo na sehemu kadhaa ambazo hazijafunikwa.
Kutokana na data za global warming ni kwamba hii iliyobaki mpaka mwaka 2015 itakuwa ni hadithi, kwa hiyo michuzi piga sana picha bado miaka 9 tu basi
ReplyDeleteSio umbea Michuzi ila ndio hali halisi usisubiri mpaka ifike wakati upite hapo usione kitu ndio ukubali ukweli kwamba kuna kitu kimetokea. Huu ndio ukweli wenyewe bwana Michuzi theluji inayeyuko Global warming is at its pick these are facts and not merely gossip as you put it. Watch news na soma vitabu and look around you and see what changes are taking place today in our world, all over not just there in Tanzania.
ReplyDelete