watu kwa umbea bwana! ati ooo seruji imeisha kilimanjaro. hii ni kama nilivyoshuhudia juzi nilipokuwa natoka arusha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2006

    Lakini nafikiri wanasema kuwa inapungua kwa sababu haikua namna hiyo miaka ya 70 bwana Michuzi na inapungua sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2006

    YAANI NYIE MNATAKA KUNIAMBIA HAMJUI KITU KINAITWA GLOBAL WARMING? AU NDIO NYIE MNAPITWA NA ULIMWENGU? MAISHA YANAWAISHI BADALA YA KUYAISHI? NI VITU AMBAVYO VINASIKIKA SANA KWENYE VYOMBO INTERNATIONAL VYA HABARI, NA MPAKA FILM ZINATOLEWA KILA LEO ABOUT IT!

    ReplyDelete
  3. Bwana Michuzi ni ukweli kuwa theluji inayeyuka tena kwa kasi kubwa. Mimi binafsi nilifika Uhuru Peak Nov, 2000 na angalia picha hii:
    http://ptanali.8k.com/myalbum/kili_mz.html
    na uniambie kama kuna theluji hapo. Kiwango cha theluji kinatofautiana kutegemea na ni wakati gani wa mwaka; miezi ya joto huwa kinapungu zaidi ya miezi ya baridi. Hapo naona ulikutia siku nzuri kiasi. Na pia ukiwa mbali theluji inaonekana nyingi... nenda karibu utaona jinsi kulivyo na sehemu kadhaa ambazo hazijafunikwa.

    ReplyDelete
  4. Kutokana na data za global warming ni kwamba hii iliyobaki mpaka mwaka 2015 itakuwa ni hadithi, kwa hiyo michuzi piga sana picha bado miaka 9 tu basi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2006

    Sio umbea Michuzi ila ndio hali halisi usisubiri mpaka ifike wakati upite hapo usione kitu ndio ukubali ukweli kwamba kuna kitu kimetokea. Huu ndio ukweli wenyewe bwana Michuzi theluji inayeyuko Global warming is at its pick these are facts and not merely gossip as you put it. Watch news na soma vitabu and look around you and see what changes are taking place today in our world, all over not just there in Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...