ja rule hakuwa mbali na masupastaaa wa bongo alipozuru dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Sasa na masupastaa wabongo inabidi wakija viwanja nawenyewe wapewe attention kama hiyo hiyo wanayowapa hawa akina Ja Rule. Siyo wawakimbie wakidhani masupastaa wetu wa bongo ni washamba.

    ReplyDelete
  2. Asante Michuzi,weka picha mzee.namuona mshua Kinje hapo,vipi videmu vyake mbona hawaonekani?

    ReplyDelete
  3. Mmeshaanza!

    ReplyDelete
  4. saa zingine inabidi kukubali tu yaishe, Kinje ana run the show Bongo, period!! au a least katika mzunguko wake, not disrespecting others in different fields, hiyo ndio sign ya true playa 4 real!!

    ReplyDelete
  5. i concur...mie ndiyo anony kabla yako.

    cheers

    ReplyDelete
  6. no disrespect but who is Kinje

    ReplyDelete
  7. SWALI ZURI HUYO MWENYE T-SHIRT NYEUPE PEMBENI MWA HUYO MSHIKAJI MWENYE FULANA NYEKUNDU AMBAYE NAFIKIRI NDIYE JA RULE......KAMA NIMEKOSEA NISAIDIENI.

    ReplyDelete
  8. mtoto wa ngombale mwiru (tayari hiyo tu inamfanya kuwa na jina kubwa mbele ya wajinga) achilia mbali anayoyafanya yawe mazuri au mabaya

    ReplyDelete
  9. YAANI NINA MAANA ALIYEVAA FULANA NYEUPE NDIYE KINJE NA HUYO ALIYEVAA FULANA NYEKUNDU NDIYO HUYU MTUMBUIZAJI.

    ReplyDelete
  10. Mbona huyo kinje ana onekana kama shoga wa ja rule? ya kweli hayo?

    ReplyDelete
  11. anony 7:31,sisi ni vigumu kuproove,anyway, unaweza kumpelekea matako yako halafu utakuja kusema kama ni ya kweli hayo au siyo.

    ReplyDelete
  12. hahahahah Ja Rule kweli amekwisha baada ya kuzimwa na Fiddy yaani kaenda mpaka Bongo na Media za Bongo nazo zimechunia habari za ujio wake. It's Murdaaaa naona kajiua mwenyewe !! Where is Irv Gotti?? au na yeye hakuwepo?

    ReplyDelete
  13. Mwacheni kabisa huyu kinje mtoto wa watu ujue watu ndio maana hampati baraka kwa kusema watu tu,huyu kinje pamoja na matatizo aliokuwa nayo naona ni kijana anaejishughulisha kujipatia kipato kwa ana miradi mbalimbali ukizingatia baba yake ana uwezo angeweza kwenda nje na hata asirudi mfano watoto wamkapa mmeshawahi kuwaona bongo?na kuhusu swala la uhuni mnalosema huyu mtu hata akionekana na nani mtasema wanatiana eti kwa vile ana pesa,hivi nyie wabongo mkoje jamani?najua mtanishambulia sana lakini hii ni desturi mbaya ya kusema watanzania wenzenu tena bila kuproove,watu wanasemwa sana hapa bongo jamani kila mtu jambazi kila mtu sijui ana ukimwi,sijui anatoa kisamvi im tired na nyinyi wabongo.

    ReplyDelete
  14. mWAMBIENI AJE HUKU MUONE KAMA ATAPOKELEWA HATA NA WALINZI WA JA RULE. HUYO BWANA INAONEKANA ALIJIPITISHA NA PICHA NDIYO IKAPIGWA MBONA BONGO MNAFURAHIA VITU VIDOGO SANA HAWA JAMAA HUKU WATU WANAWAONA KILA SIKU, SASA NIKIJA NA BINTI WA MZEE BUSHI SI KIKWETE NDIYO ATANIPOKEA NA SIYO HAWA KINA KINJE TENA.

    ReplyDelete
  15. Wewee kapange box! Unapishana na nani Ohio, tena Columbus?!!!

    ReplyDelete
  16. KATIKA VIUMBE WOTE WATEMBEAO NA WARUKAO, WEWE MSAMI NI KICHAA KABISA....

    HIVI NCHI KAMA USA UNAILINGANISHA NA TANZANIA? NAFIKIRI JIBU NI HAPANA LAKINI NAOMBA UJUE KWAMBA RAISI BUSH AKIJA MWENYEJI WAKE NI LAZIMA AWE RAISI JK.

    NINI NAJARIBU KUTENGENEZA HAPA NI KWAMBA MTOTO WA BUSH UKIJA NAYE DAR HUYO NI MGENI WAKO SABABU HANA LOLOTE LA KUONGEA NA JAYKAY.MAANA KUSHOTO KUNA MSEMA OVYO BASI MOJA KWA MOJA MTOTO HUYO ATAKUWA MSEMA OVYO NAYE.

    RAISI WETU ANAPOKEA WATU WENYE AKILI TIMAMU TU, MFANO WAKINA BLAIR,CLINTON NA WENGINEO KAMA ANDREW YOUNG.KWA HIYO BE CAREFULL UNAPOSEMA MANENO HAYO.

    OTHERWISE, JA RULE NA HAO WAJINGA WAKO WA HUKO PAMOJA NA WEWE HAMNA HADHI YA KUINGIA IKULU LABDA UONGOZANE NA BAHASHA WAKO TOKA ULAYA AMBAYE KWELI ANASTAHILI KUONANA NA IKULU LAKINI NAYE ATAFIKIRIWA.

    ReplyDelete
  17. HUYO MWANAMKE PEMBENI ALIYEVALIA WHITE C NDIYE MKE WA JOSEPH KUSAGA??? C JAMAA ANAHANGAIKA NINI NA VICHECHEE???????????????

    ReplyDelete
  18. joseph kusaga ni kahaba wa kiume,hajaanza leo vicheche,huu ni muda wa kutulia na kufanya mambo ya mana c kuondekeza ngono mzee

    ReplyDelete
  19. Kinje jamani alikula dili na mpiga picha hili akipita tu apigwe picha. Unafikiri yeye na ja-rule wataongea lugha gani? Kizaramo au? hawawezi kuelewana jamani.

    ReplyDelete
  20. kwani kujua kingereza ndio nini we mbongo,kwani hawezi kuwa na mkalimani?acheni kulow wenyewe,angejua hio lugha ingekuwa poa lakini kama hawezi ya nini sasa kujitesa

    ReplyDelete
  21. Unataka kumaanisha huyo binti ndio mkalimani wake? make sijakuelewa.

    ReplyDelete
  22. Acheni usenge wote nyie wakandiaji mtabakia kwenye mtandao kukandia watu tu!!!! wezenu maisha mbeleeeeeee!!!

    ReplyDelete
  23. once again huyo mtu ambaye anatumie jina la msami naomba utumie jina lako mwenyewe naona una kazi zaidi ya kuaribu majina ya watu.... naombeni watanzania mkiona jina la msami humu ndani mlipuuzie tu coz kuna mtu anatumia hilo jina kuliaribu... asanteni sana

    ReplyDelete
  24. Kuhusu huyo Msami kama ni impostor... ama kweli, mambo humu ndani! mambo ya Jason Bourne!! anyway kwa jinsi anavyojielezea na anadai anaishi Ohio, wahusika wa kweli wameshindwa kumjua kabisa jamani??!! maanake wasifu wake anaojipa sidhani kama ingekuwa taabu kumgundua na ku deal naye binafsi, anyway bora tu kidogo mambo yamewekwa wazi, katulia kidogo naona....AUUU??!!!

    ReplyDelete
  25. Nasikia Ja Rule alipokuwa bongo wabongo walimuudhi, kila alikoenda alikuwa anaona wabongo wamevaa fulana za G UNIT, hata kwenye concert hapo Diamond Jubilee fans wengi walikuwa na fulana au kofia za G UNIT, wacha nasikia awe anachukia, nasikia alitupa fOUR wireless microphone kwenye crowd kwa hasira,anafikiri wabongo wako bias, wanaendeleza beef yake na 50 Cent. Michuzi toa news about, can anybody verify this kwa walioko bongo???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...