Home
Unlabelled
ja rule
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa na masupastaa wabongo inabidi wakija viwanja nawenyewe wapewe attention kama hiyo hiyo wanayowapa hawa akina Ja Rule. Siyo wawakimbie wakidhani masupastaa wetu wa bongo ni washamba.
ReplyDeleteAsante Michuzi,weka picha mzee.namuona mshua Kinje hapo,vipi videmu vyake mbona hawaonekani?
ReplyDeleteMmeshaanza!
ReplyDeletesaa zingine inabidi kukubali tu yaishe, Kinje ana run the show Bongo, period!! au a least katika mzunguko wake, not disrespecting others in different fields, hiyo ndio sign ya true playa 4 real!!
ReplyDeletei concur...mie ndiyo anony kabla yako.
ReplyDeletecheers
no disrespect but who is Kinje
ReplyDeleteSWALI ZURI HUYO MWENYE T-SHIRT NYEUPE PEMBENI MWA HUYO MSHIKAJI MWENYE FULANA NYEKUNDU AMBAYE NAFIKIRI NDIYE JA RULE......KAMA NIMEKOSEA NISAIDIENI.
ReplyDeletemtoto wa ngombale mwiru (tayari hiyo tu inamfanya kuwa na jina kubwa mbele ya wajinga) achilia mbali anayoyafanya yawe mazuri au mabaya
ReplyDeleteYAANI NINA MAANA ALIYEVAA FULANA NYEUPE NDIYE KINJE NA HUYO ALIYEVAA FULANA NYEKUNDU NDIYO HUYU MTUMBUIZAJI.
ReplyDeleteMbona huyo kinje ana onekana kama shoga wa ja rule? ya kweli hayo?
ReplyDeleteanony 7:31,sisi ni vigumu kuproove,anyway, unaweza kumpelekea matako yako halafu utakuja kusema kama ni ya kweli hayo au siyo.
ReplyDeletehahahahah Ja Rule kweli amekwisha baada ya kuzimwa na Fiddy yaani kaenda mpaka Bongo na Media za Bongo nazo zimechunia habari za ujio wake. It's Murdaaaa naona kajiua mwenyewe !! Where is Irv Gotti?? au na yeye hakuwepo?
ReplyDeleteMwacheni kabisa huyu kinje mtoto wa watu ujue watu ndio maana hampati baraka kwa kusema watu tu,huyu kinje pamoja na matatizo aliokuwa nayo naona ni kijana anaejishughulisha kujipatia kipato kwa ana miradi mbalimbali ukizingatia baba yake ana uwezo angeweza kwenda nje na hata asirudi mfano watoto wamkapa mmeshawahi kuwaona bongo?na kuhusu swala la uhuni mnalosema huyu mtu hata akionekana na nani mtasema wanatiana eti kwa vile ana pesa,hivi nyie wabongo mkoje jamani?najua mtanishambulia sana lakini hii ni desturi mbaya ya kusema watanzania wenzenu tena bila kuproove,watu wanasemwa sana hapa bongo jamani kila mtu jambazi kila mtu sijui ana ukimwi,sijui anatoa kisamvi im tired na nyinyi wabongo.
ReplyDeletemWAMBIENI AJE HUKU MUONE KAMA ATAPOKELEWA HATA NA WALINZI WA JA RULE. HUYO BWANA INAONEKANA ALIJIPITISHA NA PICHA NDIYO IKAPIGWA MBONA BONGO MNAFURAHIA VITU VIDOGO SANA HAWA JAMAA HUKU WATU WANAWAONA KILA SIKU, SASA NIKIJA NA BINTI WA MZEE BUSHI SI KIKWETE NDIYO ATANIPOKEA NA SIYO HAWA KINA KINJE TENA.
ReplyDeleteWewee kapange box! Unapishana na nani Ohio, tena Columbus?!!!
ReplyDeleteKATIKA VIUMBE WOTE WATEMBEAO NA WARUKAO, WEWE MSAMI NI KICHAA KABISA....
ReplyDeleteHIVI NCHI KAMA USA UNAILINGANISHA NA TANZANIA? NAFIKIRI JIBU NI HAPANA LAKINI NAOMBA UJUE KWAMBA RAISI BUSH AKIJA MWENYEJI WAKE NI LAZIMA AWE RAISI JK.
NINI NAJARIBU KUTENGENEZA HAPA NI KWAMBA MTOTO WA BUSH UKIJA NAYE DAR HUYO NI MGENI WAKO SABABU HANA LOLOTE LA KUONGEA NA JAYKAY.MAANA KUSHOTO KUNA MSEMA OVYO BASI MOJA KWA MOJA MTOTO HUYO ATAKUWA MSEMA OVYO NAYE.
RAISI WETU ANAPOKEA WATU WENYE AKILI TIMAMU TU, MFANO WAKINA BLAIR,CLINTON NA WENGINEO KAMA ANDREW YOUNG.KWA HIYO BE CAREFULL UNAPOSEMA MANENO HAYO.
OTHERWISE, JA RULE NA HAO WAJINGA WAKO WA HUKO PAMOJA NA WEWE HAMNA HADHI YA KUINGIA IKULU LABDA UONGOZANE NA BAHASHA WAKO TOKA ULAYA AMBAYE KWELI ANASTAHILI KUONANA NA IKULU LAKINI NAYE ATAFIKIRIWA.
HUYO MWANAMKE PEMBENI ALIYEVALIA WHITE C NDIYE MKE WA JOSEPH KUSAGA??? C JAMAA ANAHANGAIKA NINI NA VICHECHEE???????????????
ReplyDeletejoseph kusaga ni kahaba wa kiume,hajaanza leo vicheche,huu ni muda wa kutulia na kufanya mambo ya mana c kuondekeza ngono mzee
ReplyDeleteKinje jamani alikula dili na mpiga picha hili akipita tu apigwe picha. Unafikiri yeye na ja-rule wataongea lugha gani? Kizaramo au? hawawezi kuelewana jamani.
ReplyDeletekwani kujua kingereza ndio nini we mbongo,kwani hawezi kuwa na mkalimani?acheni kulow wenyewe,angejua hio lugha ingekuwa poa lakini kama hawezi ya nini sasa kujitesa
ReplyDeleteUnataka kumaanisha huyo binti ndio mkalimani wake? make sijakuelewa.
ReplyDeleteAcheni usenge wote nyie wakandiaji mtabakia kwenye mtandao kukandia watu tu!!!! wezenu maisha mbeleeeeeee!!!
ReplyDeleteonce again huyo mtu ambaye anatumie jina la msami naomba utumie jina lako mwenyewe naona una kazi zaidi ya kuaribu majina ya watu.... naombeni watanzania mkiona jina la msami humu ndani mlipuuzie tu coz kuna mtu anatumia hilo jina kuliaribu... asanteni sana
ReplyDeleteKuhusu huyo Msami kama ni impostor... ama kweli, mambo humu ndani! mambo ya Jason Bourne!! anyway kwa jinsi anavyojielezea na anadai anaishi Ohio, wahusika wa kweli wameshindwa kumjua kabisa jamani??!! maanake wasifu wake anaojipa sidhani kama ingekuwa taabu kumgundua na ku deal naye binafsi, anyway bora tu kidogo mambo yamewekwa wazi, katulia kidogo naona....AUUU??!!!
ReplyDeleteNasikia Ja Rule alipokuwa bongo wabongo walimuudhi, kila alikoenda alikuwa anaona wabongo wamevaa fulana za G UNIT, hata kwenye concert hapo Diamond Jubilee fans wengi walikuwa na fulana au kofia za G UNIT, wacha nasikia awe anachukia, nasikia alitupa fOUR wireless microphone kwenye crowd kwa hasira,anafikiri wabongo wako bias, wanaendeleza beef yake na 50 Cent. Michuzi toa news about, can anybody verify this kwa walioko bongo???
ReplyDelete