Home
Unlabelled
bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo demu ni wa nani Michuzi,wa kwako au wa kwake?Kumbuka umeacha familia huku mzee,jali!!!
ReplyDeleteeti hotelini kwangu, mnakula pesa za watanzania kijinga kijinga tu kwa nini msikae katika balozi yetu. kama hamna nafasi kwa nini msijenge kuondoa upotezi wa pesa za kila siku. Nina uhakika michuzi hauna pesa za kulipa hiyo hotel na ni pesa zetu sisi wanyonge na masikini tunakulipia hapo.
ReplyDeletehuyo ni demu wa huyo jamaa mrefu, kwa hiyo chunga adabu yako..
ReplyDeletedemu gani huyo wa kujitambia sasa, anyway Michuzi wanaume hawakenui meno hivyo jamani mapozi gani hayo funga mdomo smile
ReplyDeleteHuyo dada anaonekana kama MODEL.
ReplyDeleteMichuzi, sasa Cynthia Masasi miadi yenu ya kumpiga miti ndiyo imekufa kifo cha mende, aui? Maana moto ulikuwa mkali hadi ukaamua kubandua ile picha ya leo.
ReplyDeletewewe CM hater naona ni wale mastalker
ReplyDeleteMamaaaa! Wewe anonymous 6.18 usintie hasira! Unawajua models kweli wewe? Demu gani huyo "migulu baja?" Miguu ya Kichaga hiyo unafananisha na models? Nyoooooo!
ReplyDeletemijitu mingine, eti mtu anashangaa Michuzi kukaa kwenye hoteli kama hii. Nyie endeleeni kubeba maboksi wakati wenzenu wanakwenda shule.
ReplyDeletewewe unayesema miguu ya demu mibaya wakati hujawahi kupata demu tokea umekuja mtoni, kabebe boksi huko na ulipe bills zako on time.
ReplyDeleteMichuzi wale watoto wanakufa kule sasa hivi na wakina mama Tanzania ni kwa sababu wewe mmoja wapo unayetumia hela zao, hela zao hizooo za misaada!
ReplyDeletemhh we cinthia hataer nahisi ulipewa kuma alafu ghafla ukamwagwa huku bado unataka.inaonekana ni sakapokoooo.(njaa)alafu lazma utakua unanuka nuka mdomo na pumbu!huwezi kumganda mtoto wa mwenzio hivyo!
ReplyDeletePuhleeeese!
huyo demu namjua alikuaga Miss Jamaica.
ReplyDeleteWe wacha uongo wa kumpakazia, jirani yangu huyo hakuwa miss Jamaica wala nini. Kwani lazima mseme tu hata kama mtu hamjui?
ReplyDeleteHuyo demu Modesta Kairuki hajawahi kuwa Miss Jamaica acheni uzushi.
ReplyDelete