jeshi la polisi limeunda kikosi maalumu cha ffu wa doria ya pikipiki kukabiliana na ujambazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mazuri hayo tunangojea kupata ahueni kwa maana mpaka hivi sasa vibaka wanatutoa damu puani!!

    ReplyDelete
  2. hawa jamaa mbona ukipita mikoani hawapo???? mabasi ya abiria yanatekwa kila mara na abiria wanaimbishwa 'mtaji wa maskini ni nguvu zake'. tena kuna sheria ya kusema mabasi yote yasiendelee na safari ifikapo saa 12 jioni. na hiyo mchana lazima yawe na 'eskoti' ya polisi mwenye silaha. lakini kimbembe kinaendelea.
    kama unabisha nenda kule kigoma, biharamulo na hata singida na arusha...utaambiwa.

    ReplyDelete
  3. basi mzitunze pikipiki hizo.maana na nyie hamja2lia2lia !sio tena ziwe za kupelekea kina mama sijaona sokoni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...