Home
Unlabelled
ffu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mazuri hayo tunangojea kupata ahueni kwa maana mpaka hivi sasa vibaka wanatutoa damu puani!!
ReplyDeletehawa jamaa mbona ukipita mikoani hawapo???? mabasi ya abiria yanatekwa kila mara na abiria wanaimbishwa 'mtaji wa maskini ni nguvu zake'. tena kuna sheria ya kusema mabasi yote yasiendelee na safari ifikapo saa 12 jioni. na hiyo mchana lazima yawe na 'eskoti' ya polisi mwenye silaha. lakini kimbembe kinaendelea.
ReplyDeletekama unabisha nenda kule kigoma, biharamulo na hata singida na arusha...utaambiwa.
basi mzitunze pikipiki hizo.maana na nyie hamja2lia2lia !sio tena ziwe za kupelekea kina mama sijaona sokoni
ReplyDelete