Home
Unlabelled
jk
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nasikia hotuba ya Mzee JK ilijaa sana malalamiko ya wingi wa ukimwi nchini bongo sasa nauliza hivi nyie vijana hamjajua kweli kama hili gonjwa ni noma? Hadi rais anakuja kulilia huku wamsaidie, Jameni tuvaeni Mipira ya kiume wakina kaka na wale akina Dada acheni tabia ya kupigwa kavu!! Hivi nyie wabongo mtakuwa na fikra za kizungu lini? Mnaendekeza Ngono mpaka rais anaacha mambo muhimu kuja huku kuwaombea dawa! Hamwezi kweli kuvaa sox? Inasikitisha kuona Hotuba yote imejaa condom,Dawa...condom...dawa za kuongeza kuishi...AIBU TUPU!!
ReplyDeleteKabada kandinda sijapata hiyo hotuba lakini kama unayoyasema ni kweli inasikitisha sana. lakini pia mimi nafikiri katika suala la ukimwi tunasahau kitu kimoja tanzania. mara nyingi katika suala la malalia tunafyeka majani, tunanyunyizia madawa. Na pia magonjwa mengine huwa tunafanya hivyo.
ReplyDeleteIkija tanzania vile vyanzo vya ukimwi tunaviona hila tunavifumbia macho. sasa dawa. Kuna picha michuzi alisha wahi kuweka eti watu wanacheza mgongo-mgongo, kuna ulevi wa kupindukia hivyo vyote ni vichocheo hiyo ni mifano midogo tu. Je amuoni kuwa wakati mwingine tunahitaji visheria vidogo vidogo ambavyo vitakuwa kama kunyunyizia dawa za kuuwa mbu? Hiyo nami imenigusa sana.
we kabada ni mtu wa wapi mbona unatumia thirrd party talk nyie wabongo kama wewe mbongo vilevile hufikirii ni wewe vilevile umo kwenye hiyo hotuba au kwa sababu uko huku unafikiri ndio hakuna ngoma au labda hupati hiyo kitu anyway hizo ni porojo za kipolitiki tu ukimwi kila mtu anajua upo na njia za kujikinga lakini kama mzee Mwinyi alivyosemaga gonjwa liko sehemu mbaya thats it, na juu ya kuwa na fikra za kizungu ndio zipi hizo watu wengine wananisikitisha sana kama nyie anza na wewe kwanza ujue kwamba any good idea sio lazima itoke kwa mzungu pumbuwani we stop feeling so low all the time(Fikra za kizungu)
ReplyDeleteWe Kibada sijui Kidada fala sana mshenzi mkubwa we tena mtumwa wa mawazo na fikra,eti fikra za kizungu,punguani mkubwa we.Wazungu gani hao kina Jlo au kina Britney au kina Madonna au kina nani sijui ambao wanazaa kila siku watoto wa baba tofauti,hizo ndio fikra za kizungu chizi we!Fikiri kabla ya kunena kwanza we mwenyewe ni mbongo tu.Kweli we ni mtumwa mambo leo eti una kana mpaka kwenu au kwa kuwa umetoka mtoni kijchi ndio unafikiri hatutapajua,juha we!!!
ReplyDeletekibanda ni fwala. kama anapenda kizungu mbona anaandika kiswahili? mbona jina lake siyo la kizungu? huenda huwa anajichapa mkorogo awe na ngozi kama ya kizungu(: noma zaidi ni pale anapofikiria kila kitu cha kizungu ni maendeleo: kumbuka kuwa moja ya tabia za kizungu ni kupandisha bei ya dawa za malaria na zile za kusaidia kuongeza maisha ya ndugu zetu walio HIV+, kuongeza bajeti za kijeshi na kuendekeza masharti magumu ya kibiashara na nchi zetu. haya yote ni maendeleo!!! F*ck off hayawani wewe
ReplyDeleteKinacho nisikitisha mnatumia energy kubwa kubishania hii neno fikra za kizungu nina maana muache kutomba kavu, wanawake wa kiswahili hawapendi soxi wengi wanaona kama dharau kuwapiga miti kwa kutumia raba matokeyo yake kijana akiwa na ngoma anaipata kirahisi sasa nakuja kwenye fikra za kizungu mabinti wengi wa kizungu hawakubari kupigwa kavu na mtu wasiye mjua mara nyingi wana uliza kama unampira/condom kabla ya kuvua chupi, kwa nini wewe unaye pinga usijiurize SWALI la MSINGI ni sababu zipi zinafanya UKIMWI uwe janga kubwa hasa sub saharan countries na nchi kama Sweeden, Japan America na other western countries ni kidogo? Utajua wenzetu tukifata FIKRA zao zitasaidia na ni issue ndogo tu VAA CONDOM. Lakini mkiendelea kujifanya Kichwa maji na kufaidi Uchi mtateketea hakuna milacle hapo. Sasa nilikuwa na maana hiyo. Hawa ndugu zetu wazungu wanapigana miti saaaana lakini wanakumbuka SOXI especially kwa mtu wasiye mjua vizuri na Serikali ina system nzuri ya kuwadhibiti wanao eneza ukimwi wanaenda jela na wale walioambukizwa wanachunguzwa kuhakikisha hawaenezi hili gonjwa kwa watu wengine makusudi. Sasa ndugu zangu hamkubaliani na mimi kama HIZI FIKRA ZA WENZETU NI NZURI AMA TUENDELEE KUTOMBANA KAVU NA MWENYE NGOMA AENDELEE KUTOMBA NA KUENEZA KWA KILA MTU NA KESHO KIKWETE AJE UN KUOMBA HELA ZA DAWA NA KULALAMIKA KWAMBA TUNATEKETEA NA HILI GONJWA?
ReplyDeleteNDUGU ZANGU WATANZANIA,
ReplyDeleteMNAFAAMU VIZURI KUWA NCHI YETU IMEKUWA IKIHESHIMIKA DUNIANI KUTOKANA NA AMANI NA UTULIVU TULIONAO NA PIA WATANZANIA TUNAFAHAMIKA KWA UKALIMU NA UPENDO KWA WATU WENGINE,
SASA INAKUWAJE TUNATUMIA LUGHA CHAFU NA MATUSI KATIKA PUBLIC FORUM KAMA HII,
HATA KAMA MTU UPO HURU KUANDIKA KILE UTAKACHO LAKINI SIBUSARA KWA MTANZANIA KAMA WEWE KUANDIKA MATUSI NA MANENO MACHAFU KWENYE FORUM KAMA HII,
ZAUIDI HUKO NI KUJIABISHA NA KUJIONA NI JINSI GANI ULIVYO SUBHUMAN,
HAPA MAHALI WANAPITA WATU WA RIKA TOFAUTI, WATOTO,VIJANA NA WAZEE,KWAHIYO NI VIZURI UNAPOTAKA KUCHANGIA HOJA UTUMIE TU BUSARA ULIYOZALIWA NAYO.
TUNAWAFUNDISHA NINI WATOTO ZETU HAPA,AU WADOGO ZETU,
HIVI KWELI UTAFANIKIWA KUWAFIKISHIA UJUMBE WALENGWA KWA LUGHA HII UNAYOTUMIA?
TAFADHALI NDUGU WATANZANIA NIPO CHINI YA MIGUU YENU,
TUTUMIE UWANJA HUU KWA KUFUNDUSHANA, NA KUELIMISHANA.
TUACHE KUJIAIBISHA NA KUWAABISHA WATANZANIA WENGINE.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI AFRIKA.
kabla sijaenda kwa kabanda naanza na wewe anony wa saa 2.02. haya masuala ya mungu ibariki tanzania/afrika nk yanapotosha watu wengi. ukikaa kuomba mungu ibariki TZ wenzako wanachakarika na kufanya mabadiliko, badala ya kukaa na kuomba mungu kila mtu afanye kazi (kwa mbinu na maarifa, siyo kukurupuka tu, siyo kwa sababu wazee wetu waliimba mungu ibariki TZ na sisi tufuate mkumbo huo. baraka za mungu zitakuja baadaye kuneemesha juhudi zako.
ReplyDeletela pili, suala la amani na utulivu TZ halina maana kama watu wanaendelea kusota na kusagika kwa ukimwi na umaskini uliokithiri. bora tuchapane kidogo (kwa maneno makali) ili watu waanze kufikiri mara mbili kabla ya kutenda. na hapo mabadiliko yanaweza kutokea.
sasa narudi kwa kabanda.. unachozungumza ni fact kwamba mtu avae condom aepuke ukimwi.. hapa hakuna haja ya kuleta uzungu au uafrika,, yeyote akivaa condom anapunguza uwezekano wa kuambukizwa. kinachowakera watu wengi (mimi ni mmoja wao) ni pale unapoweka msisitizo kwamba lazima tuige mambo ya kizungu.. hapo unakuwa unasema mambo kwa ujumla kiasi kwamba unatupatia picha mawazoni mwetu kuwa kila jambo wanalofanya hao mabwana zako wazungu unaona ni bora kuliko jinsi ulivyo wewe mwenyewe, kitu ambcho si kweli. lakini kwa kuwa huo ni mtazamo wako, hatuwezi kukuzuia.. mbaya zaidi ni pale unapotoa wito kwa watanzania wote wakubaliane na wewe, na huo ndio ufala ambao watu hatuutaki
Sasa wewe dada anoy 2:02 nashindwa kukuelewa wewe unafikiri kila mtanzania ni mweusi? Kwa taarifa yako mimi ni mzungu nilizaliwa na wamishionari wazungu wazazi wangu ni Waamerika walikuwa wanaishi Tarime missioni ya baptisti, nilipata uraia wa tanzania ingawa naendelea kuishi uhamishoni. Kama sisi tunajua ukwimwi unaua na hatuvai condom kwa nini tusiseme mtuige sisi wazungu ambao tunavaa mipira kama jadi? hakuna ubaya wewe dada yangu kuto kukubaliana na mimi lakini tumeshindwa kulidhibiti hili gonjwa na wenzenu sisi wazungu tunalidhibiti kwa hiyo ni vema mutuangalie tunavyo livalia njuga hili swala, nadhani wewe dada anoy hapo juu umenielewa anasnte sana.
ReplyDeleteSTATEMENT BY H.E. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT
ReplyDeleteOF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, DURING THE
GENERAL DEBATE OF THE 61ST SESSION OF THE
UNITED NATIONS GENERAL ASSEMBLY,
NEW YORK, 20 SEPTEMBER, 2006
Your Excellency Shaikha Haya Rushed Al Khalifa ,
President of the General Assembly;
Your Excellency Kofi Annan, Secretary General of the
United Nations;
Excellencies;
Distinguished Representatives;
Ladies and Gentlemen,
Permit me to begin by congratulating you,
Madam President, on your well deserved election to
the Presidency of the 61 st Session of the General
Assembly. This is an important milestone on the
gender agenda at the United Nations. I wish you
2
great success and assure you of Tanzania's s full
support and cooperation as you discharge your
duties.
I should also like to commend your predecessor,
H.E. Mr. Jan Eliasson, for his able stewardship of the
60th session of the General Assembly. Under his
leadership, Tanzania was privileged to Co-chair with
Denmark negotiations leading to the
operationalization of the Peacebuilding Commission.
The Case for Continuity
Madam President;
Excellencies.
I stand before you as the fourth President of my
dear country, Tanzania, following another successful
multiparty democratic election last December. This is
the third smooth transition of power in Tanzania. I
3
took over from my eminent predecessor in office, H.E.
Benjamin William Mkapa who has remained active
both at home and abroad. He remains my useful and
wise counsel as does his predecessor His Excellency
Ali Hassan Mwinyi. Among the many good things
that former President Mkapa continues to discharge
for our country and the human family is his
membership of the Secretary-General's High Level
Panel on System-Wide Coherence which is an
important task in our agenda for the reform of the
United Nations.
Such was the success of the previous
administration that I can only come before you with
one central message—a message of policy continuity
nationally, regionally and internationally.
4
We will continue with the efforts of the previous
administration to promote peace, stability and
national unity. In addition we shall redouble our
efforts to uphold and strengthen good democratic
governance, respect for human rights and rule of law
as well as intensify the fight against corruption. We
feel greatly honoured in this regard that, the Global
Organization of Parliamentarians Against Corruption
decided to hold their second global conference in
Arusha, Tanzania in two days time in recognition and
in support of our efforts.
Madam President,
Tanzania also made impressive economic strides
making it one of the fastest growing economies in
Africa. My intention is to sustain and enhance that
record with greater zeal, vigour and speed.
s
Similarly, Tanzania has emerged as one of the
best practice cases in terms of ownership of the
development agenda and the harmonization and
coordination of development assistance. This is a
policy and practice I will advance during my tenure
in the hope that it will add to the realization of the
theme of this General Assembly — Implementing a
Global Partnership for Development.
Madam President;
In view of this record, and given our political and
macro-economic stability and political will, Tanzania
is now well poised to accelerate the pace towards the
attainment of Millennium Development Goals.
For this to happen however, we need
international support to scale-up on our
infrastructure, capacity for value addition processes
and human capital development. Fortunately, the
6
framework for such international support already
exists, for example through the Monterrey Consensus
and the Helsinki Process. I believe Tanzania has lived
up to her commitment under the global compact for
development. I now call upon our development
partners to do likewise.
Cognizant of the role of the private sector as the
engine of growth, Tanzania has implemented farreaching
policy and institutional reforms geared to
creating a conducive environment for business.
The World Bank's "2007 Doing Business Report"
recognizes Tanzania as one of the ten best reforming
countries in the world. Therefore Tanzania has again
fulfilled her commitments under the Global Compact.
We, therefore, call upon our development partners to
augment our efforts, and the private sector to respond
positively.
7
The Great Lakes Region of Africa
Madam President,
The success of whatever we try to do nationally
depends critically on a peaceful neighbourhood. For
too long Tanzania has suffered the consequences of
conflict and instability in the region, including
hosting hundreds of thousands of refugees,
destruction of infrastructure and environment and the
time and resources deployed in facilitating conflict
resolution.
For this reason, Tanzania will continue to play its
part In the quest for peace, security, stability and
development in the Great Lakes Region.
Significant progress has been achieved in the
political and security situation in the Great Lakes
Region of Africa. We appreciate the support of the
8
United Nations and other partners in the regional
peace process. Tanzania welcomes and commends the
government of Burundi and the FNL for finally
signing the ceasefire agreement. We are humbled
that we were able to play a role.
Likewise, I commend the Government, the major
political actors, as well as the people of Democratic
Republic of Congo for holding the long-awaited
elections. We urge that the forthcoming second round
of elections be conducted in a free, fair and peaceful
manner. Tanzania as Chair of the SADC Organ on
Politics, Defense and Security will play its role in
support of this process. As a friendly neighbour we
will endeavour to be as useful as is necessary
Moreover, Tanzania as current chair of the
initiative for peace and security in the Great Lakes
9
Region will work closely with other member
countries to ensure a successful Second International
Conference on the Great Lakes region later this year
in Nairobi.
I wish to put on record our sincere gratitude to
the Group of Friends of the Great Lakes for their
support. I appeal to them and the international
community to remain engaged with this process.
Peace and Security Trends Elsewhere in Africa
Madam President,
Peace seems to have eluded the world. Reports
of wars and violent conflicts are head line news in
international media. Unfortunately Africa, the
poorest of the continents has had an unfair shame of
conflict. Like other delegates, we express our concern
for the security and humanitarian situation in Darfur,
lo
and call for continued regional and international
community's engagement. Likewise, we are deeply
concerned about the situation in Somalia and
elsewhere, Cote d' Ivore and in the continent.
The continuing impasse on Western Sahara, is
unfortunate. After 31 long years it is high time that
the UN redoubled its efforts towards resolving this
issue. The UN resolved the question of East Timor,
which was similar to that of Saharawi. The people of
Western Sahara deserve no less from us. I believe it
cab be done if all parties played their part
appropriately.
1 1
The Middle East
Madam President,
Ladies and Gentlemen:
Turning to the situation in the Middle East, I am
pleased to see the ceasefire between Israel and
Lebanon holding and troop contributing countries
responding positively in reinforcing the United
Nations Interim Force in Lebanon.
The 34-day war in Lebanon took international
attention away from the plight of the Palestinian
people. The lack of progress towards a negotiated
two-state solution and the decline in confidence in the
peace process are worrying developments. We call
upon the Quartet, and encourage bilateral and other
multilateral initiatives, to revive the peace process
laid down in the Road Map. A just, viable,, lasting
1 2
and comprehensive peace in the Middle East can only
come through negotiations.
Terrorism
Madam President,
Tanzania welcomes and applauds the adoption
by the General Assembly of a Comprehensive Global
Strategy to Counter Terrorism.
It is our expectation that the differences which
arose during the negotiations will not stand in the
way of the strategy's s implementation.
After experiencing a major terrorist attack on our
soil in 1998, Tanzania has always repeated our resolve
to cooperate with others to combat terrorism in all its
manifestations. The threat of terrorism is global and
complex; it demands a collective and adaptive
strategy to contain it.
1 3
Multilateralism and UN Reform
Madam President,
Excellencies:
Tanzania has always stood for the sovereign
equality of nations and for the primacy of
multilateralism in global governance and in
addressing global issues. We have always cherished
and stood for the central role of the United Nations in
global affairs. We promise to continue to be faithful
and responsible members of the UN. It is our
intention to participate more actively in UN peace
keeping missions new and operations.
We have always believed that the United Nations
of today has to reflect, in its structure, policies,
programmes and activities, the realities of the world
of today. The UN has to move with the changing
1 4
times and aspirations of its membership. I want to
reaffirm Tanzania s continued commitment to these
urgent and legitimate demands. We are very much
committed to the reform agenda especially the reform
of the UN Security Council to make it more
representative and more responsive to the changing
realities.
Madam President,
Ladies and Gentlemen:
Tanzania's s term as a non permanent member of
the the United Nations Security Council will end In
the next three months. Let me thank you all for the
honour accorded to my country to serve on the
Council. In this important organ of the United
Nations.
1 5
We thank our fellow members of the Council for
their cooperation and support during our term. As
we leave, we are gratified that we were able to
organize a special session of the council to discuss the
situation in the Great Lakes region where useful
conclusions were made.
Again as we leave I would like to pay tribute to
our outgoing illustrious Secretary General, Mr. Kofi
Annan, a great internationalist and statesman. We
congratulate him for a job well done and for his able
leadership during a particularly difficult period for
the world and the United Nations.
He will be remembered as one who challenged
the Organization to live up to the true promise of
multilateralism, in delivering collective security,
pursuit of fundamental human rights and promoting
human development.
1 6
Madam President;
Excellencies.
I thank you for your kind attention..
ubaya wa wewe kabada kadinda unakuwa umedindisha muda wote mpaka akili yako inakosa akili na kuona watu wote ni wanawake au dada zako. halafu unaanzisha umisionari wako wa kibaptist cha aina yake cha kuhubiri matumizi ya condom. haya ni haki yako.
ReplyDeletesasa kwa taarifa yako.. hao wazungu waliiga matumizi ya condon kutoka kwa wamisri mwaka 1,000 BC. ukitaka kujua undani wake soma hapa http://www.craigsweb.com/condom2.htm
sasa huoni kuwa hata wazungu wanaiga mambo kutoka Afrka??! fisi maji wee
Haya this shows how much hilo jinga kabanda lilivyo unless hujui kusoma kizungu kama utakavyo kiita wewe au english kwa watu wenye fikra kubwa zaidi yako watakavyoiita, sijaona hiyo hotuba iliyo jaa ukimwi maskini wa fikra wewe, kwa pumbavu langu lililo sema ni zungu I hope haukua serious coz kwanza kuwa na stereo type ya kujumuisha watu wote weupe as if wana mind moja ni ujinga ambao sidhani hata kama nataka kutumia energy yangu on, ukweli ni kwamba condom ni kitu ambacho watu wengi tu hawatumii iwe nyumbani ama huku marekani au europe thats the whole world problem Afrika inakuwa kwenye radar just because watu wanakufa zaidi kwa zababu ya umasikini thats it, kama unakaa huku US utakubaliana na mimi kwamba the biggest problem hawa watu kabanda anaowaita werevu ni single parent homes, child supports na kids dropping school wakiwa pregnant sasa niambie hizo condom zilitumika vipi kupata hayo matatizo wewe mzungu mbuzi unayejiita mzungu I dont even think kama mawazao yako yameenda shule just the way u sound u might b white but very stupid just by the way u sound coz i see way more crack heads who are whites ready to give you a quicky than i see blacks, me and ma friends have f.... a lot of whites and pass them around way more than blacks, in US 7 out of 10 kids are born under a single parent home now tell me where the hell is that wazungu fikra
ReplyDeleteJk nasikia kimombo is not reachable ka michizi tu,nasikia jasho lilimtoka na akosoma neno by neno bila kuinua macho matokeo yake akasoma mpaka thank you,noma bora njomba che Nkapa.
ReplyDeleteJamani naomba kuacha MATUSI, tutumia "nguvu ya hoja" si "hoja ya nguvu"
ReplyDeleteWachangia mada wa hapo juu, wamejaribu kusisitiza juu ya uvaanji wa condom katika kujaribu kupubguza kasi ya hili gonjwa. Hii ni kweli kabisa. Kitu ambacho sikubaliani ni kusema kwamba wazungu hawana gonjwa kwa sababu matumizi yao ya condom ni mazuri. Je unajuaje mzee??
Ukiangalia data za utoaji mimba au teenage pregancy za hizi nchi utajua kwamba si kweli kwamba utumiaji condom upo juu...bali ni kwamba gonjwa halipo sana huku, kwa hiyo maambukizi sio makubwa kwa sababu hiyo . Lakini vile vile kule nyumbani gonjwa linaenea sana sababu ya umasikini pia, hivyo wenye pesa zao wanakuwa na nguvu ya kutumia pesa zao kufanya ngono na akina mama dhaifu au maskini ambao hawawezi kuanza kuulizia maswala ya soksi wakati anatafuta pesa ya ugali........
Sioni ubaya kwa JK kuja Newala (UN) kuja kuomba dawa, ni wajibu wa haya mataifa kusaidia maskini.
naishia hapo kwa sasa...hii topic ya ukimwi ni ngumu sana sio rahisi kama wengi mnavyofikiria
Why mh prezidenti alitumia MADAM PREZIDENT??!!Kwenye speach yake? alikuwa anamanisha nini? Helpu mi tu undastandi?
ReplyDeleteGood speach whoever wrote it !
ReplyDeleteJohn K
Kwa taharifa ambao walikuwa hawajui ukimwi ni kwa weusi sanasana kwa sababu sisi hatufanyi research lakini ukiangalia sana hili gonjwa ni la kibaologia ni sawa tu na nyukilia wala hakuna cha wazungu wanajali au hapana. Kwa taharifa nchi kama botswana weupe hawapatwi na gonjwa hili.
ReplyDeleteHata nchi za ulaya yanayofanyika sisi hatujaweza kufikia huko kabisa lakini siyo kwamba wao wanajali hila basi tu.
Nafikiri ni njia mojawapo ya kutumaliza hili wabaki peke yao
Raisi alikuwa ana adress Madam kwa Raisi wa General Assembly ambaye ni demu amechaguliwa..soma hiyo hotuba yote utaelewa au lugha noti richabo?
ReplyDeleteUwkeli sasa naamini kwamba watu wengi hawana upeo wa kuchambua lolote na kuchangia hoja I am afraid hii ndio maana tunatharauliwa na watu wa nje na naomba nisieleweke vibaya coz si generalize hii issue najua kuna watanzania tulio na upeo wa kuchangia hoja na kwa hao nawapongeza but nimeisoma hii speech na kuielewa sijaona kwanza hata sehemu moja Raisi akiomba huo msaada wa ukimwi pili ninavyojua mimi kiingereza sio test ya kujua ubusara wa mtu kwani sio lugha yetu ya taifa so i have no problem na issue kwamba JK hajui kimombo so what? japo najua kwamba anajua inakuwaje kwenye mambo yote hayo aliyoyaongelea tumechagua issue hizo na kuzirukia
ReplyDeleteNa ndugu yangu anauliza swali la kwa nini anatumia madam wakati jibu liko kwenye sentesi ya kwanza, its sadden but its true kwamba watanzania wengi sana kweli ni slow, low thinking people again I'm not generalize mtu, please speech hiyo hapo kwa wenye hoja ichambueni na tutoe michango yenye akili tuachane na ukimwi sawa unaua but hiyo ilikuwa hoja ya jinga na pumbavu kabada, JK hajazungumzia hayo kama haupati kimombo ukimwi unaitwa AIDS in english so angalia hiyo speech na utajua kwamba hakuna hiyo habari ya speech kujaa maelezo hayo
pEACE
Anon wa 8:38
ReplyDeleteHoja zako kweli zimekwenda shule. Naungana mkono na hoja zote ulizotoa kuhusu upeo wa WaTz wengi, uwezo wa kuchambua mambo, nafasi ya lugha ya kiingereza kwenye busara na uwezo wa mtu kupembua mambo pamoja na hulka ya kukurupuka na maoni juu ya jambo bila kulitafakari au kulisoma kwa kina.
Sasa naomba nikuombe na wewe ukwepe kuchanganya lugha, au utumie kiingereza na kiswahili kilichonyooka kwenye hoja zako. Vinginevyo unakwamisha uelewaji wa watu unapokosoa kitu unachorudia wewe mwenyewe.
Pia utofautishe lugha ya masimulizi (kuongea) na lugha ya maandishi. Umeandika hoja za maana sana lakini hakuna alama za vituo wala mkato kwa hiyo unakwamisha mtiririko wa hoja.
Asante
Mobiles break bones as Africa aims high
ReplyDeleteBy Wycliffe Muga
Business programmes, BBC World Service
Mobiles have spread to small, remote villages across Africa
Sometime last year, the Ugandan humorist, Joachim Buwembo declared that he had discovered a new epidemic that threatened many lives in Africa.
This was a condition he named as Nebrols.
He noted that the rapid spread of this condition had been detected in rural parts of Uganda, where medical workers found themselves overwhelmed by the number of elderly men and women who had sought treatment for broken arms and legs.
What he was describing, as it turned out, was one of the incidental outcomes of the spread of mobile phone use in Uganda.
The speed at which the mobile phone companies were rolling out their networks had not kept pace with the rate at which the phones were being bought and distributed all over the country.
So there were parts of rural Uganda in which there were plenty of elderly men and women with mobile phones, but where the network signal was so weak that the only way to make a phone call was to climb up a tree on some nearby hill, and make your call while clinging to its branches.
When old people begin to climb tall trees there is bound to be a sudden increase in falls and broken bones.
Hence the epidemic of Nebrols - an acronym for the Network Broken Limbs Syndrome.
And although Buwembo was only joking, the mobile telephone business in Africa has been a remarkable success story, which involved some of the best-known names in global telecommunications.
New giants
In Kenya, for example, the fixed line networks have not risen much beyond the approximately 400,000 lines that had been connected by the year 2000.
Not all rural areas have mobile base stations nearby
But in the past six years, almost five million mobile lines have been registered, and what was once a rich man's toy, is now to be found in the hands of every street vendor and market woman.
This, however, has led to some dangerous "magic thinking" on the benefits of modern technology, and a conviction in some government circles that other easy solutions can be found to problems of public infrastructure.
The Kenyan Minister for Information and Technology, for example, recently declared that "Information Technology will be the main driver of Kenya's economic growth", a statement that overlooks the fact that with 80% of Kenyans being small scale farmers, it is greater agricultural productivity that is more likely to yield such growth.
But such wild optimism was only to be expected.
Not only was this complete modernization of the telecommunications sector achieved within a few short years and at no cost to the government.
In addition, the mobile phone companies have since proved to be so profitable, they are now some of the biggest corporate taxpayers.
Energetic walkers
However this is not the sort of miracle that can be replicated in every sector of the economy.
Mobiles are hailed as economic saviours
There can be no painless solution, for example, to the fact that Kenya's electricity tariffs are so high that they make most Kenyan manufactured goods uncompetitive in export markets.
And although solar panels capable of providing free electric power have been available for much longer than mobile phones, these are still too expensive for most rural communities in Africa, where women continue to light kerosene lamps every evening.
Which goes a long way to explain why most people walk for miles to the nearest market centre, to charge their new mobile phones.
anony wa 10.40 unakuwa na makoseaji baada ya kusoma habari ya mtu wakati wewe hujachangia kitu, anyway sababu ya kuchanganya lugha sio kwamba nataka lakini tatizo ni kwamba kwa wakati huo wazo ndio linakuwa limekuja kwa mtitiriko huo kama unakaa nje ya nchi utanielewa, ninapoishi nakaa na kufanya kazi na wamarekani tu kwa hiyo natumia lugha tofauti which is 90% of the time, nikiongea na simu na washkaji,ndugu na jamaa wa huku tunaongea kiswahili, nikiingia huku nasoma kiswahili so ubongo wangu umezoea baada ya muda mrefu kuswitch kutoka kwenye lugha moja mpaka nyingine bila kufikiria kwa hilo niwie radhi sio kwamba nataka lakini nikikaa na kuanza kufikiria na kutafsiri kabla ya kutype ni shughuli i hope umeelewa mzee.(maanake wabongo mnataka kuheshimiwa laa sivyo yatarudi matusi ahh).
ReplyDeleteJuu ya period na koma na hizo sio kwamba sijui bali muda ni mfupi wa kutype kwa style hiyo nakuwa naingia huku nikiwa katikati ya shughuli nyingine anyway too much information the bottom line I do type and write the way thats most convinience for me i dont have time ya kuangalia spelling mistakes na comas and all that if its not good enough for u too bad
pEACE
aiseee tunachoshwa na maelezo yenu yasiyokuwa na point zozote.mimi nadhani hii blog ni kitu poa sana na tunahitaji mawazo safi na mafupi sio kutuandikia mada kama za rai.ila aliyepost speech ya kikwete pale UN ni safi sana.
ReplyDeletekweli ! watu wanaandika neno kwa neno as if wanazungumza uso kwa uso. maelezo mareefu. inachosha
ReplyDeleteJAKAYA ANGEONGELEA PIA UKIMWI KUTOA MAONI YA USHAURI KWA MKWE WAKE MTARAJIWA -ALBERT MARWA- AMBAYE KAMWACHA MKEWE KISA MTOTO WA KIKWETE. NA INAJULIKANA SIO SIRI ANA NGOMA HUYOOOOOOOOO. HAYA IMARISHA JK WAKAPIMWE ILI UHAKIKISHE HIZI HABARI NI ZA UHAKIKA.
ReplyDeleteKabada Kadinda maoni yako uliyotoa hapo juu kuhusu ukimwi ni mazuri ni kweli watanzania inabidi tubadili mwenendo wetu
ReplyDeletelakini kuhusiana na hotuba ya Kikwete kwenye United Nations General Assembly sio kweli kwamba ilijaa malalamiko ya wingi wa ukimwi.Labda ni mawazo yako uliyokuwa nayo kichwani ya tatizo la ukimwi ukaamuwa ku-link na hiyo hotuba,ninafikiri sio vizuri
Kabada na wale ambao wanataka kusikiliza hiyo hotuba unaweza kuipata kwenye hii link; WWW.UN.ORG/WEBCAST/GA/61/GASTATEMENT20.SHTML
nyie mbuzi mnaolalamika juu ya kuandika kwa urefu ndio mapumbavu yasio kuwa na mawazo ya kuandika sasa unalalamikia watu wenye kuweza kufikiria na kuandika kwa urefu, kama wewe akili yako inafikiria idea mbili kwa dakika usimlalamikie mwenzako anayefikiria zaidi yako na kuandika this is what blogs are for kubadilishana mawazao majinga nyie
ReplyDeletepEACE
Unajua ukitukana wewe ndio unakuwa ufai kabisa kwa maana nyingine we anony wa sept. 22, 2006, 6:23PM ndio ufahi kabisa dawa ya moto haiwezi kuwa moto. na wewe jifunze ustaarabu kabisa mzee. nategemea uombe samahani.
ReplyDeletekila mtu ana handle vitu vyake kivyake kwangu mimi ni hivhyo ninavyochagua ukija kwa heshima nitakurudishia heshima, njoo na upuuzi wako ndivyo nitakavo kurudishia kwa nini niweke mikono yangu chini kwa mtu yoyote na ukiangalia situkani matusi ya nguoni ni kwa sababu najaribu kueshimu hii sehemu lakini wabongo ukiwa hivyo wanafikiri unakuwa muoga wao, kuomba radhi kwa nani Naaaah never
ReplyDeletepEACE
Hivi kumbe kuna matusi ya nguoni na matusi ya nje? mimi nijuavyo matusi ni matusi na mstaharabu yeyote aliyeelimika anaweza kutoa mchango ukafanya mtu aliyetukana akaona haina haja lakini ukianza kunyambulisha matusi ndio mwanzo wa kuvurumushiana mitusi mzee. Siku nyingine jifunze hilo kabisa.
ReplyDeleteNarudia dawa ya moto siyo kuwasha mwingine mzee hila ni kuupungia makali kwa kuumwagia maji na mchanga.
we anon hapo juu ivi unayajua matusi au unajitoa faham.huyo anon mwingine kakwambia vizuri tu,ila kwa kuonyesha utaira wako unaona umetukanwa.fwala wewe!
ReplyDeleteebwana anon 11:48 umenish2a!Mi kila siku nasikia 2 mitaani kuna jamaa kamwacha mkewe anataka kuoa mtoto wa kikwete!looooo kumbe jamaa mwenyewe ni albert?
ReplyDeleteNachomuomba jk kama angekua amelitambua mapema ni nafuu angewabebea na dozi kutoka us!jamaa kimeo yule mbona!
Alafu jama alivyo mtambo naskia anataka na kubadilisha na dini aingie dini ya jk!Jeemeni!Makubwa!
Wewe jamaa unayweka sahihi pEACE ndiye unayokoroga mambo kwa kuandika kwa urefu bila mpango. ntakupa mfano. comment zako za sept. 22.2006. 10.01 AM umeanza vyema na point yako ilikomea pale uliposema "......kwa mtiririko huo". FULL STOP.. kinachofuatia hapo ni upuuzi mtupu unaorefusha hoja yako na kuifanya ionekane ni ziro. huna haja yab kutuambia unafanya kazi na wamarekani au unaongeaga na marafiki zako kwenye simu. hayo yote ni irelevanti.
ReplyDeleteLike I said b4 watanzania concentrate kwenye vitu vinavyowasaidia, kama ulisoma kwanza nilkuwa namjibu mtu so kwa wengine wote haikuwahusu pili nilisema mwenyewe kwamba thats too much info na nikamaliza kwamba nitaandika ilivyo rahisi kwangu sasa nachanganya nini,
ReplyDeleteKwa ndugu yangu anayedai hakuna matusi ya nguoni au nje labda anataka mifano ili afurahi but ma parents raised me better than that so I wont,
but again kwa mimi natoa maoni yangu ninavyojisikia u dont like it pole sana tutumie nguvu kwenye maoni na kutojishughulisha kumblast mtu time zote
pEACE
asa kama wewe mwenyewe uliona ni too much, iweje wengine wakisema ni too long wanakuwa 'mbuzi' na wewe usiwe mmoja wao!!!
ReplyDeletekitu kingine we pEACE kumbuka kwamba ukiweka mawazo yako public utapata watu watakujibu tu. kama unataka kumuandikia mtu mmoja maalum, mtumie barua personal, email au umpigie simu kama unavyodai, lakini ukiandika bloguni, hapa ni huria,,, like it or not
pEACE,
ReplyDeleteNaona jinsi wazazi wako walivyo 'kuraise better.' Yaani kuita watu mbuzi na mapumbavu ndio kuwa raised better? Wabarikiwe sana
Najifunza mengi sana humu. Namshukuru mama yangu kwa kunipeleka shule ili niweze kusoma maandishi ya wengine, na kutambua uwezo wao wa kufikiri.
ReplyDeleteNdugu zangu mlioko ughaibuni mnatufahamisha mengi mno. ila naona kama mnabishana sana wenyewe kwa wenyewe zaidi ya kutufahamisha sisi wavuvi huku Feri. Mnaonaje mkipunguza kubishana mkaendelea kutupa hoja za msingi kuliko kutufurahisha tu?
UKIMWI Noma, UMSKINI na ELIMU ni Noma ZAIDI.
ADUI MKUBWA WA AFRICA: UJINGA, UMASKINI NA MARADHI.......(zidumu fikra za mwalimu)
we mvuvi usijiweke nyuma, watu wakiwa ughaibuni haina maana kuwa ndiyo wanafahamu kila kitu. wewe mwenyewe pale feri unaweza kuwafahamisha mengi vilevile.
ReplyDeletehalafu unaposema 'zidumu fikra za mwalimu' sijui ni mwalimu yupi unayemzungumzia. napata wasiwasi kwa sababu kama unamzungumzia mwalimu nyerere, mi nafikiri kuwa ktk enzi zake tumeona umaskini wetu uliongezeka zaidi. hizo zilikuwaga nyimbo za kisiasa tu.
Niliandika zidumu fikra za mwalimu nikiwa na maana ya kuwakumbusha kuwa ni mwalimu pekee ndiye aliye ainisha maadui wakubwa watatu wa Africa, yaani UJINGA, UMASKINI na MARADHI
ReplyDeletehakuna mwanasiasa wala mchambuzi wa kisiasa, kama wale maarufu wa Ujerumani walioweza kubainisha maadui hao.