Home
Unlabelled
mongela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Patrick naona mwili umekubali. Nakukumbuka toka enzi za Mlimani Primary School. Umekuwa mtu mzima sasa.
ReplyDeleteHivi huyu Patrick ndiye mkuu wa wilaya?
ReplyDeleteKama kweli ndiye mkuu wa wilaya basi kazi ipo huko anakoenda!
ReplyDeleteKwani patriki umeacha kucheza mpira siku hizi
ReplyDelete- Nambiza
Huyu Patriki sie mkuu wa wilaya. Mkuu wa wilaya ni kaka yake anaitwa Joni. Patriki yeye ni Mkurugenzi wa Uendeshaji kwenye Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF). Nishawahi kubadilishana naye mawazo siku moja... Kijana kichwa kimetulia!
ReplyDeleteAnon 7:44 kwanijamaa anan nini mbona umesema kuna kazi huko anakoenda?
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteAnoy 11.01Am una maana gani kichwa kimetulia? Ulitegemea ange act kama mwendawazimu? Or did you have a different perception of him because of the Mogella name?
ReplyDeleteYego Patriki! Kamirachasugu mosoe...
ReplyDeleteHumu kwenye blogger watu wengine huwa hamuangalii mambo positive! Wabongo wengine kazi yenu ni kukandia tu ndio starehe yetu.
ReplyDeleteRupia Lyabandi
Makobazi,suruali na shati la namna hiyo..jamani tujifunze basi japo kuvaa.mwe
ReplyDeleteWaungwana, hii hali ya kutukana na kuwavunjia watu heshima imekithiri, na hivyo hatutaendelea kuivumilia isipokuwa kuifanyia kazi. Nimeunganisha kikundi cha watu watano wenye nia dhahiri ya kupambana na hili suala. As from now on, we will crack down and find out which computers were used to send those profanity massages. Hatuna uwezo wa kukuchukulia hatua yoyote kisheria, bali tutaweka majina ya wahusika humu ili pengine hao waliotukanwa ndio washughulike na wewe, hili si jambo la mchezo maana hali hii imetuchosha.
ReplyDeleteKijana juu mambo yamekubali. Nauhakika hio kazi aliyonayo anaweza kuimuda vizuri whether kapewa au kaitafuta mwenyewe. Cha maana ni kazi itendeke vizuri au?
ReplyDeleteSasa huyu si zezeta tu wa New york jamani, ama kweli kweli bongo......!
ReplyDeleteVyeo Bongo ni vya kupeana tu, it is not what you know, it is who you know.
ReplyDeleteNdo maana 45 years after Uhuru hatujajitosheleza na umeme, maji, chakula na rushwa bado nje nje.
Nyie watu wengine humu acheni kumharibia kijana wa watu jina. Patrick nimemjua toka Mlimani Primary School, pamoja na Emanuel ndugu yake. Jamaa ni gentleman, tofauti na watoto wa mawaziri wengine ambao wao walichoweza kufanya ni kuvuta bangi na kukataa shule. Watoto wote wa Mama Mongella walilelewa vizuri, na ukichangia mama yao(Mrs. Mongella) ni mwalimu by profession, watoto wake wote wamesoma, na wana elimu nzuri tu. Sasa acheni kumchafulia jina. Kijana wa watu ni mtu swafi.
ReplyDeleteU cannot somebody to express his/ Her will. Kuwachafulia jina? una maana gana bwana, kwani yeye wa kwanza, Hata Yesu alinenwa vibaya sembuse hawo jamaa ambao wanajulikana mtaani kwao tu, Vipi bwana.
ReplyDeleteBy-Mtanzania
suruali, shati, makubazi? kumbukumbu zinaonyesha huyo jamaa aliishi new york kwa muda mrefu tu,hapo ndio makao makuu ya fashion, assuming kwamba atakua anajua kila kitu kuhusu masuala ya kupendeza, hivyo basi kuvaa hivyo ni choice yake tu, kila mtu ana preferences na choices zake, mimi binafsi napenda kupendeza, lakini haina maana kila mtu, hivyo basi hiyo ni choice yake tu na siyo kwamba mshamba au hajui, hivyo labda ndio anavyojisikia comfortable, pia kitu kingine kuna watu walianza kupendeza toka utotoni, kabla nguo za dukani na mitumba haijaanza, so baada ya muda inakuwa ni mazoea tu.
ReplyDeleteFIDE ndio unakarabishwa bongo hivyo, kufika tu tayari majungu, demu wa kikenya, pengine last time ulimuona ilikuwa miaka kumi iliyopita lakini bado ni issue, zoea taratibu kaka!
Watu humu ndani kazi kuuwa wenzao hata bila kuwafahamu. Mimi nafanya kazi kwenye recruitment agency hapa Tanzania. Kwa bahati nzuri nimeona CV yake kwenye database yetu. Kwa kifupi huyu bwana Patrick hakuna dalili kuwa kabebwa na hata kama kabebwa basi anabebeka!
ReplyDeleteKwa ufupi:
Kazaliwa: 1971 DSM
Familia: Mke na watoto 3
Shule: BA Economics, MBA Finance.
Kazi:PriceWaterhouseCoopers (1997-1999)kama Audit Assistant halafu Audit Associate;
Tanzania Cigarette Company (1999-2001) kama Leaf Manager;
Capital Finance Limited/TDFL (2001-2003) kama Relationship Manager;
Standard Chartered Bank (2003) kama General Manager wa Business Financial Services;
Public Service Pensions Fund (2004 to date) kama Director of Operations.
Kwa mtazamao wangu sioni alipobebewa hasa ukuitilia maanani hat kwenye private sector alikoanzia chini kabisa aliweza ku-excel. Au na huko pia wazungu walimbeba? Anyway, hayo ni mawazo yangu binafsi ambayo yanaweza kuwa yamepotoka!
Wewe Butiama na wewe acha kujitangaza tangaza kupitia tovuti ya mwenzio.Hapa unakaribishwa kutoa maoni tu na sio kutangaza sijui radio yako,sijui nini.Michuzi akikutumia invoice utalipa?Acha ujanja ujanja.
ReplyDeleteAnnony 8:14, amefanya kazi bongo miaka tisa, kwako wewe ni juzi juzi tu?, ana miaka 35, kwako wewe ni bwana mdogo, ana familia anaweza kuwa na wajukuu, wabongo tuna safari ndefu, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
ReplyDeleteHhmm! Wacheni ukabila nyie. Mnajuana kwa vile wote mmetoka familia za Kikerewe, tena za majina makubwa. Nakumbuka Tungaraza mama yake alikuwa mwalimu shule ya msingi Forodhani. Enzi hizo nilikuwa darasa moja na dada yake Leticia. Hivo yuko wapi siku hizi? Keshaolewa?
ReplyDeleteTuache tabia ya kusakama watu. Badala yake tutiane moyo katika kutafuta mafanikio.
ReplyDeleteUFAFANUZI
ReplyDeleteJAMANI INAFAHAMIKA WAZI KWAMBA HII SI BLOGU YA MICHUZI TENA, BALI NI YA WABONGO WOTE. HIVYO WOTE WAKO HURU KUTUMA UJUMBE KUPITIA HUMU KAMA AFANYAVYO RADIO BUTIAMA AMA HATA ALIVYOFANYA DADA CYNTHIA MASASI. WOTE JISIKIENI MKO HURU. HII NI BLOGU YA WOTE NA SI YA MICHUZI TENA. KARIBUNI, JISIKIENI MKO HURU MRADI TU TUSITUKANE AMA TUSITUKANANE NA KUCHOJOANA NGUO HADHARANI. KUKOSOA IMO BILA MATUSI LAKINI...
Huyi Mongella hatulii mahali pamoja!Kafanya kazi maximum of one and half year everywhere he worked. Why switch jobs every year? Unasema CV yake ni nzuri? Yah right! He is not the only one with such CV! There's alot of Wabongo with better CV than his who are not even near to where Mongella is right now. Tukubali tu wandungu KAPEWA CHEO KAMA KAKA YAKE JOHN ALIVYOPEWA UKUU WA WILAYA.
ReplyDeleteAnnony 3:13 AM,kinachotakiwa kazi ifanyike vizuri, kapewa,kajipa mwenyewe is not an issue, kubadili kazi ni kosa? ulitaka mpaka hawe na PHD? uenda amewapita maraisi wengi duniani, wewe endelea na chuki zako binafsi.
ReplyDeleteafrika afrika afrika!
ReplyDeleteTunagombania haki ya kuchafua majina!
Tunagombania haki ya kutukana!
Tunauliza maswali yasiyohusu, picha ya kaka anasakamwa dada yake,
picha ya dada anasakamwa kaka, mama.
makinikieni mambo ya maana zaidi ya kukandya.
NB: mtu anayekanda atoe jina na CV tuwajue nao wako wapi na wanafanya nini.
Annony 3:13AM, chuki, wivu, tamaa havitatufikisha popote hiyo kazi inahitaji CV yanamna gani? kama wamesoma na wanatitle usishangae kesho wakawa maraisi, George W Bush amepata nafasi yakugombea uraisi, kupitia influence ya baba yake, funguka macho na ukubali ukweli.
ReplyDeleteAnnony 3:13AM kutokana na utalaam wangu unaweza ukawa mtu unayejihita SAM saa nyingine.
ReplyDelete<<<<<<
ReplyDeleteHuyi Mongella hatulii mahali pamoja!Kafanya kazi maximum of one and half year everywhere he worked. Why switch jobs every year? Unasema CV yake ni nzuri? Yah right! He is not the only one with such CV! There's alot of Wabongo with better CV than his who are not even near to where Mongella is right now. Tukubali tu wandungu KAPEWA CHEO KAMA KAKA YAKE JOHN ALIVYOPEWA UKUU WA WILAYA.>>>>>>>
Nionyeshe mtu yoyote hata huku ughaibuni mwenye kazi nzuri na naweza kutafutia wachache wenye resume nzuri kuliko yeye. Its not always about the best qualified candidate? Its what you do when you get that position. Acha uwivu..shit happens sometimes. Just cos there might be some other individual with better CV haimaniishi jamaa kazi haiwezi. Hivi unamjua kusema kwamba haqualify? Kwenye interview ulikuwepo? Msiwe mahaters. Wivu wa namna hii hautosogezi mbali kama taifa. This cat is down sharp!!
I don't think kama kila mtu ayeandika kuhusu position ya Patrick ana wivu. The problem here is his last name "Mongela" Jina limamponza! Kama huyu Bwana angekuwa na different last name, no one would question his position.
ReplyDeleteAnon 6:10am hapo juu nadhani umenena. Nadhani huyu bwana kilichomponza ni jina lakae la ukoo. Angekuwa na jina ambalo hatujawahi kulisikia basi labda watu wangetoa pongezi... Kazi kweli tunayo!
ReplyDeleteHalafu yule wa 3:13AM kule awali ana mtazamo finyu wa kuona kuwa uhamaji wa kazi ni matatizo. Labda jamaa anauzika! Kuna mtu mmoja alisema yeye akiona myu kakaa kazi mioja miaka kumi wala hataki kumuajiri kwani anahisi kuwa hauziki na hatakuwa na mawazo mapana zaidi ya yale aliyojifunza kwa mwajiri huyo mmoja tu!
Kuna jamaa mmoja aliniambia alishawahi kuwepo kwenye interview panel kumfanyia usaili huyu Patriki kwa kazi ya Ukamishna TRA. Anasema kwenye suala la kujieleza na kupambanua mambo kwa huyu Patriki ni kama kumsukuma mlevi! Alikuwa ndo mdogo kupita wote na aliisambaratisha panel na kuacha a "lasting impression". Walim-offer hiyo kazi lakini akatoa nje ndo akachukua ajira aliyonayo sasa.
Halafu, hivi sie Wabongo lipi jema? Wametajwa akina Kinje, Rupia, Matare Nyerere na vituko vyao kama watoto wa wakubwa watu wakahemuka na kupandisha mizuka. Leo tumetajiwa mtoto wa mkubwa anayeonyesha mafanikio, tunamshikia mapanga na kumbebea mabango!
By the way, Ukuu wa Wilaya huwa hauombwi ila ni mtazamo wa mwenye kuteua. Kwa hiyo sula la CV hapa halimo; kama DC Mongela alijipendekeza, na nyie mjipendekeze ili safari ijayo muwemo!
Gertrude Mongella Oyeee!!
ReplyDeleteUmepambana hadi umekuwa mwanamke wa shoka, na haukuishia hapo umepambana na kuhakikisha uzao wako nao ni wa shoka!!
Gertrude Juu..Juu..Juuu zaidi.
anon: 6:10:
ReplyDeleteMtu kushtumiwa kwa jina la familia ni just as bad as mtu kubebwa kwa jina la familia. And in this case sio kwamba jina la familia limechafuliwa.
Sasa kweli unataka watoto wote wa wakubwa wasipate kazi?Is it not dumb..especially ukiangalia reality kwamba chances ya watoto hao kuwa wamesoma ni kubwa zaidi kuliko mtoto wa mlala hoi. Thats the reality bro. Wabongo tunataka kuishi kwenye lalaland yetu..but its about time we wake up and call a spade a spade. Mtoto wa mkubwa has a better chance of succeeding in life (career)than mtoto wa mlala hoi and its not because of kubebwa tu. Its economics.
PATRICK MONGELLA FOR PRESIDENT!
ReplyDeleteHIS RESUME/C.V IS REALLY GOOD HE SHOULD BE THE NEXT PRESIDENT!!
HUYU JAMAA NI VERY COMPETENT, NILIFANYA NAE KAZI HAPO PSPF, I CAN EVEN ASURE YOU THAT. NAFIKIRI HAMJAFANYA RESEARCH YA KUTOSHA, KWANI HATA KINA MUNGAI WALIKUWA MAWAZIRI AT THE AGE OF TWENTIES,SO I DONT THINK IF THAT IS A PROBLEM.
ReplyDeleteBUT WE SHOULD ALSO REMEMBER LIFE IS NOT FEAR, EVEN OUR MIGHT GOD HAS DECLARED THAT AMONG US(HUMAN BEING) HE HAS FRIENDS.
vipi ndugu,kutoka tulivokuwa tukisoma pamoja kule delhi ARSD college na joni na mkopi ni miaka mingi kweli.you havent changed alot isipokuwa umejenga kabisa.nimetoka kenya mimi na nimefurahi kukuona kwenye blog.
ReplyDeleteWatanzania wengine tuna majungu yasiyo na maana sasa hao wanaomkandia Patrick kwani amekosa nini....Kufanya siasa tena nzuri kwa Mama yake ndo shida? Naona tuwe na msimamo chanya wakati mwingine especially kwa watanzania wenzetu waliofanya vizuri sababu mtu kama 'Patrick' aliefanya kazi nje amefungua milango kwa watanzania wengine ambao watafuata nyuma kutokana na utendaji wake!
ReplyDeleteWivu haona maana na hawa waliomkandia inaonekana 'HAWAJASOMA' sababu hawawezi toa 'UPUUZI'kama huu kama sio wasomi!