Home
Unlabelled
musharraf
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kweli, bwana wale wagangwe walimpasha Kichaka na mwenzake wa uingereza, naona hao magangwe hawataki kuburuzwa na marekani. Lakini unajua wale kiburi wanacho kwa ajili ya mafuta.......
ReplyDeletebwana kweli hawa waarabu hawaogopi kbs marekani na her partner in crime( uingereza)maaana wanajua hela wanazo za kuendesha nchi na mafuta mengi ya kutosha ambayo wenyewe(hawa majambazi wawili) pia wanayataka. sasa we niambie Kikwete awaseme ovyo, mbona tutakufa, maana tutageuka zimbabwe sasa hivi,kweli umaskini mbaya, inabidi ufuate kila kinachosemwa na wakuu wako, ndio maana tatazidi kua maskini
ReplyDeleteNaona Musharaf kitabu chake kiko madukani tayari.Nasubiri cha JK siku moja.Hivi Mkapa aliandika kitabu chochote?
ReplyDelete