Home
Unlabelled
biashara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii safi maana kama mlienda na sample atleast ina-sound.Nina hakika bidhaa hizi toka Tanzania zitauzika kwa kiwango cha juu.
ReplyDeletehaya yaani hio ndio biashara ya kuongozana na raisi?hivyo vitu(animal product) kwanza marekani vinapigwa vita kila siku,ni abuse kwa wanyama ,kama ishu ya manyoa (yaani fur)
ReplyDeletehaya yaani hio ndio biashara ya kuongozana na raisi?hivyo vitu(animal product) kwanza marekani vinapigwa vita kila siku,ni abuse kwa wanyama ,kama ishu ya manyoa (yaani fur)
ReplyDeleteKwani marekani nyama ya ngombe hailiwi? ngozi mnapeleka wapi? na hawa chatu wakizeeka ni vibaya kutumia ngozi yao? marekani marekani usituletee hizo bwana, Hugo chavez(venizuela) ameshawaambia tunakuja kushika dunia.
ReplyDeleteUnajua kuna wabongo wananifurahisha sana hata kitu kikionekana kizuri namna gani yeye ni negative tu. Hila tunajua wengine kwa sababu mito imehama ndio maana kila comment zinakuwa na mschikeli.
ReplyDeleteHAO CHATU NA NG'OMBE MLIOKUWA NAO NI HABA NA HABA NIJAZE KIBABA.
ReplyDeleteSASA NDIO MNATAKA KUWAMALIZA WOTE TUWE KAMA NIGERIA, MTAANZA KULA MPAKA PANYA.
mzee michuzi nategmea business deals walizoenda kutafuta haziusishi animal activist, ngozi ya chatu? kwani hakuna vitu vingine vya kutangazwa? "Remember the fur business" na wamekufa chatu wangapi kutengeneza hivyo viatu.
ReplyDeleteMz na anony wa 12:45 pointi kubwa sana mmetoa. Wanyama walioko katika hatari ya kutoweka wanalindwa sana halafu sisi ndio tunajidai tunataka kuuza. Hilo tuliweke pembeni, Michuzi tuwe wakweli hivyo viatu vimetengenezwa na kiwanda kipi hapo Bongo? Maana hatunakiwanda cha kutengeneza viatu tangu bora kilipokufa. Ndio Biashara gani hiyo ya kuchukua viatu vya China na kwenda kujidai vimetoka kwetu? Mtashitakiwa ooohoo!
ReplyDeleteViatu vinauzwa bei gani? Na wapi nawesa kununa?
ReplyDelete