niko na edwin wa bodi ya biashara ya nje ambaye aliongozana na jk marekani kuonesha bidhaa zipatikanazo bongo, ikiwa ni pamoja na hivi viatu vya ngozi ya chatu na mikoba ya ngozi halisi za ng'ombe. oda kibao ziliwekwa hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hii safi maana kama mlienda na sample atleast ina-sound.Nina hakika bidhaa hizi toka Tanzania zitauzika kwa kiwango cha juu.

    ReplyDelete
  2. haya yaani hio ndio biashara ya kuongozana na raisi?hivyo vitu(animal product) kwanza marekani vinapigwa vita kila siku,ni abuse kwa wanyama ,kama ishu ya manyoa (yaani fur)

    ReplyDelete
  3. haya yaani hio ndio biashara ya kuongozana na raisi?hivyo vitu(animal product) kwanza marekani vinapigwa vita kila siku,ni abuse kwa wanyama ,kama ishu ya manyoa (yaani fur)

    ReplyDelete
  4. Kwani marekani nyama ya ngombe hailiwi? ngozi mnapeleka wapi? na hawa chatu wakizeeka ni vibaya kutumia ngozi yao? marekani marekani usituletee hizo bwana, Hugo chavez(venizuela) ameshawaambia tunakuja kushika dunia.

    ReplyDelete
  5. Unajua kuna wabongo wananifurahisha sana hata kitu kikionekana kizuri namna gani yeye ni negative tu. Hila tunajua wengine kwa sababu mito imehama ndio maana kila comment zinakuwa na mschikeli.

    ReplyDelete
  6. HAO CHATU NA NG'OMBE MLIOKUWA NAO NI HABA NA HABA NIJAZE KIBABA.
    SASA NDIO MNATAKA KUWAMALIZA WOTE TUWE KAMA NIGERIA, MTAANZA KULA MPAKA PANYA.

    ReplyDelete
  7. mzee michuzi nategmea business deals walizoenda kutafuta haziusishi animal activist, ngozi ya chatu? kwani hakuna vitu vingine vya kutangazwa? "Remember the fur business" na wamekufa chatu wangapi kutengeneza hivyo viatu.

    ReplyDelete
  8. Mz na anony wa 12:45 pointi kubwa sana mmetoa. Wanyama walioko katika hatari ya kutoweka wanalindwa sana halafu sisi ndio tunajidai tunataka kuuza. Hilo tuliweke pembeni, Michuzi tuwe wakweli hivyo viatu vimetengenezwa na kiwanda kipi hapo Bongo? Maana hatunakiwanda cha kutengeneza viatu tangu bora kilipokufa. Ndio Biashara gani hiyo ya kuchukua viatu vya China na kwenda kujidai vimetoka kwetu? Mtashitakiwa ooohoo!

    ReplyDelete
  9. Viatu vinauzwa bei gani? Na wapi nawesa kununa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...