Home
Unlabelled
jina
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu Professor Mwandyosa ni hazina kubwa ya taifa kama makamu wa rais asingerikuwa anatoka Zanzibar basi huyu jamaa angefaa sana kuwa makamu wa rais ama hata waziri mkuu. Is a hard working man
ReplyDeleteJamani hicho kiubao nomaa!!!
ReplyDeleteHaya ndio matatizo ya watu kushauriana na wake zao masuala yanayohusu Taifa. Ni upuzi kubadilisha jina kila baada ya miezi mitatu. Tuambiwe vigezo vilivyotumika kuchagua jina la mwanzo badala ya sasa kuambiwa tu vilivyotumika kuliona halifai. Ni matokea ya watawala kufanya mambo kwa kutaka sifa bila kuangalia madhara mengine. Kueni sasa nyie kina Mramba na Mwandyosya.
ReplyDeleteNinakubaliana na Mizzou kuwa Prof. Mwandosya ni hazina kubwa ya Taifa. Lakini ni wewe nami (watanzania) ndiyo tunauwezo wa kumfanya awe kiongozi wetu. Vile vile 2015 atakuwa in his 60s, atakuwa bado na nguvu za kutosha tu. Ninajuwa mtu kama Lowassa naye anawania kuingia ikulu, na inaonekana ameisha anza kampeni zake.
ReplyDeleteMizzou kweli ume reform, kumbe unaweza kuwa na mambo ya maana ya kusema ukiamua sasa kipindi kile ilikuwaje au msuba kwa sana?
ReplyDeleteJamani msimuhalibie nyie wana blog mwandosa. Mwaka 2015 ni mbali muno msianze sasa hivi mtasababisha mzee wa watu apate matatizo jamani mhache afanye kazi kwanza sasa.
ReplyDelete