
unapoingia tu makao makuu ya umoja wa mataifa nyu yok utakuta hizi picha za makatibu wakuu waliopita ukutani. toka kushoto ni trygve halvdan lie wa norwei (1946–53), dag hammarskjöld wa uswidi (953–61), u thant toka barma (1962–71), kurt waldheim wa austria (1972–81), javier pérez de cuéllar toka peru (1982–91), boutros boutros wa misri (1992–96) na atafuata kule mwisho kofi Annan wa ghana ambaye kaula toka 1997.


Michuzi hivi hawa jamaa zako walioweka ili tangazo la kuchangia Katrina wana akili kweli? Wao wamepata Katrina mara moja tu toka nchi yao ianze je sisi Bongo Katrina za kila siku anatuchangia nani?
ReplyDeleteWajameni haka kablogu kamekuwa ka kuchangia Michango, Upumbungufu wa kuona, Bushi na wananchi wake ni bora kuliko Yatima, Wananchi wa Tanzania na mara kibao anatuwekea picha zao walivyo choka na life lakini anaona bora Bushi achangiwe. Inatia Huruma, Michuzi toa ilo Tangazo la Katrina na tuwekee michango ya Tanzania kwa ajili ya Watanzania.Thamani chako na kwako kabla cha wenzako.
ReplyDeleteMichuzi, inategemea umeingia kupita lango lipi.
ReplyDeleteMICHUZI REKEBISHA USEMI WAKO: "UNAPOINGIA TU" WEWE NI JOURNALIST KUNA ENTRANCE ZAIDI YA MOJA HAPO.
ReplyDelete