Home
         Unlabelled
      
q-bar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona wameshika bendera ya Sweden hao?? Au nimekosea
ReplyDeleteBendera yafanana na ile ya Visgoths and Vikings...washiriki hawakuvaa kofia za mapembe...(CHEKENI)
ReplyDeleteMbona hamna uwiano kati ya bendela ya Mswidishi na Kombe la nyerere????? Jamani msiwe washamba!! mshidishi ata siku moja hawezi kupeperusha bendera ya taifa lingine kama hivyooo. UZALENDO UKO WAP???
ReplyDeleteSahihisho:
ReplyDeleteHapo juu...ya Visgoths and isomeke...Visigoths na ...
Pengine mashindano yalidhaminiwa na Sweden!
ReplyDeletemwenye hiyo Q- bar ni jamaa wa kiswidishi(mzungu) aliyekulia na kusoma bongo sasa sijui wajomba bendera na wao inawahusu vipi.
ReplyDeletelabda kwa sababu hawaruhusiwi kupeperusha bendera ya nchi yao, bosi wao kawaazima ya kwake.
ReplyDeletekuna team moja ya mpira huku Greenland bendera yake ni bendera ta Tazania copyright!
ReplyDelete