jumba la makumbusho ya mwalimu butiama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwa kweli ni jambo la busara kumuenzi Mwl.kwa kuweka na kuliboresha jumba la makumbusho ya mwalimu.Kwa aliyefika huwa kiingilio ni shilingi ngapi?

    ReplyDelete
  2. katika vitu ambavyo bado inabidi tuvifanyie kazi ni historia ya nchi yetu.kuna mapungufu makubwa kwenye hili mpaka kujua ukweli ni vigumu.kwa mfano kila mahali pameandikwa kuwa baba wa taifa mwl. nyerere alikuwa ni mtanganyika wa kwanza kusoma elimu ya juu uingereza(1949 -1952),wakati chif marealle na Freddy mchauru walisoma trinity collage of cambridge(1946 -1948).kielelezo ni gazeti la mtanzania jumapili tarehe 2 july 2006,mahojiano na chifu mareale.angalia kiungu hiki pia http://search.eb.com/blackhistory/article-9056571 ......challange kwa wanahistoria.

    ReplyDelete
  3. Zemarcopollo,
    Tatizo la waandishi wetu wakibongo ukiondoa Michuzi(labda kwa sababu uandishi wake ni wa picha) ni wapenda sifa sana. Wanandika kitu bila hata utafiti mradi wasifie wanachotaka. Ndio maana leo utaona wanakimbilia kumwita kila mwanaulaji (mwanasiasa) Dokta bila hata kufanya utafiti wa kina kaupata wapi huo U-dokta. Usishangae basi hawajui kuna watu wengine walishasoma nje tayari lakini wao hawajui.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...