jukwaa kuu uwanja wa sokoine mbeya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi huku pia wanakaaga viumbe?

    ReplyDelete
  2. hapo juu shika adabu yako heshimu mji wa watu kama huna point kalale

    ReplyDelete
  3. Shenzi type, wewe uliyeanza maoni hapo juu, kama alivyosema mwenzangu hapo juu. KUWA NA HESHIMA NA MJI AU MIJI YA WATU. una maana gani kutoa maoni ya namna hii, ni mtanzania kweli wewe? au ndio unataka tu upopular kwenye hii blog na kama ni hivyo sijui kwanini hujatoa jina lako. Naona wewe ni the likes of SHENA SINARE ambaye yeye binafsi au pia katuma wafuasi wake kutoa maoni ya kijinga chini ya picha za marehemu Walter na Vonetha. Ni watu wasiokuwa na heshima kama wewe ulionaza maoni hapa juu. Au labda ni mmoja wa hao kina Sinare. Kuwa na adabu tafadhali.

    ReplyDelete
  4. Mtoa maoni wa kwanza kumbuka hii ndio ardhi ambayo haiyumkini unaweza kuja malizia maisha yako ya ahera pindi Ziraeli atapokutembelea na kukupora uhai huko uliko.Chunga we bin-adamu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...