Home
Unlabelled
mbeya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi huku pia wanakaaga viumbe?
ReplyDeletehapo juu shika adabu yako heshimu mji wa watu kama huna point kalale
ReplyDeleteShenzi type, wewe uliyeanza maoni hapo juu, kama alivyosema mwenzangu hapo juu. KUWA NA HESHIMA NA MJI AU MIJI YA WATU. una maana gani kutoa maoni ya namna hii, ni mtanzania kweli wewe? au ndio unataka tu upopular kwenye hii blog na kama ni hivyo sijui kwanini hujatoa jina lako. Naona wewe ni the likes of SHENA SINARE ambaye yeye binafsi au pia katuma wafuasi wake kutoa maoni ya kijinga chini ya picha za marehemu Walter na Vonetha. Ni watu wasiokuwa na heshima kama wewe ulionaza maoni hapa juu. Au labda ni mmoja wa hao kina Sinare. Kuwa na adabu tafadhali.
ReplyDeleteMtoa maoni wa kwanza kumbuka hii ndio ardhi ambayo haiyumkini unaweza kuja malizia maisha yako ya ahera pindi Ziraeli atapokutembelea na kukupora uhai huko uliko.Chunga we bin-adamu.
ReplyDelete