timu ya q-bar iloshiriki kandanda la kumkubuka mwalimu leo jimkana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. mbona wameshika bendera ya Sweden hao?? Au nimekosea

    ReplyDelete
  2. Bendera yafanana na ile ya Visgoths and Vikings...washiriki hawakuvaa kofia za mapembe...(CHEKENI)

    ReplyDelete
  3. Mbona hamna uwiano kati ya bendela ya Mswidishi na Kombe la nyerere????? Jamani msiwe washamba!! mshidishi ata siku moja hawezi kupeperusha bendera ya taifa lingine kama hivyooo. UZALENDO UKO WAP???

    ReplyDelete
  4. Sahihisho:

    Hapo juu...ya Visgoths and isomeke...Visigoths na ...

    ReplyDelete
  5. Pengine mashindano yalidhaminiwa na Sweden!

    ReplyDelete
  6. mwenye hiyo Q- bar ni jamaa wa kiswidishi(mzungu) aliyekulia na kusoma bongo sasa sijui wajomba bendera na wao inawahusu vipi.

    ReplyDelete
  7. labda kwa sababu hawaruhusiwi kupeperusha bendera ya nchi yao, bosi wao kawaazima ya kwake.

    ReplyDelete
  8. kuna team moja ya mpira huku Greenland bendera yake ni bendera ta Tazania copyright!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...