Home
Unlabelled
wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
naoan shemeji wa JOSEPH watupu hapo
ReplyDeletethose three ladies with black hijab on their heads look alike are they sisters Tanzanians or they came with Jay Z? Mmmh they look very beatiful,and i like their poses too!
ReplyDeleteTanzania tuna warembo wengi tena wazuri, hawa ni watanzania ama wamarekani?
ReplyDeletebeyonce mama angalia utanyang`anywa Jay Z bongo hapa? abiria chunga mzigo wako, na ukipata mbongo hurudi tena New York utaogeshwa kwenye kigoda na maji ya karafuu...
ReplyDeleteYeees safi sana lakini nauliza swali hao kina dada kwanini wametilia vilemba? au ni waislamu wa siasa kali?
ReplyDeletehao kina dada wazuri kweli duu!!!
ReplyDeleteJamani nitawapata wapi na mimi kama hao.....
mbona kama wasomali?
ReplyDeleteKila star wadau ni wale wale.
ReplyDeleteNa huyo wa nyuma mbona kapozi
ReplyDeleteki-marine?
Na huyo mzungu wa nyuma mbona kapozi kama wa Executive Outcomes!
ReplyDeleteMbona wadau ni wale wale?
ReplyDeleteYaani hawa wwanawake wa Tanzania hivyo vitambaa stily ya wasomaly na waethiopia wanaoanza kucivilize, wao ndio wameona ki hip-pop sio?
ReplyDeleteAm kweli ushihiri umetawala bongo!
Yaani Jay-z akiwaambia watu wa unyamwezini waguess hii picha alikuwa wapi? Hata nyinyi wenyewe jamani semeni kama msingejua.
Hao wakina dada ni Shemeji zakena Joseph Kusaga na niwaBongo....Nyie Bongo mlikua mnakaa wapi?.........
ReplyDeleteNyie watu hao madada wote watanzania, msione hivyo vilemba ni waislam na huu ni mwezi mtukufu ndio maana mnawaona na vilemba lakini ukiwakuta miezi ya kawaida ogopa.
ReplyDeleteHawa wote watanzania kwani jamani tanzania ndio hakuna watoto wazuri ni wasilam hao na huu mwezi mtukufu.
ReplyDeleteWabongo wa huku wote wametoka uswahili na mashambani!!!!!!!
ReplyDeleteAnony wa 12:07 umeniwacha hoi na hiyo guess yako.
ReplyDeleteEeh dear wa juu yangu!
ReplyDeleteHawa watu wa humu we wacha tu!
Ukitaka kujua CV zao na real backgrounds zao, kutoka mababu zao.
Hautakuta mtu wa originally O/bay, Upanga, Regent Estate, a part of: Mikocheni, Msasani, Masaki na Block 41. HAKUNA, wanatoka mikoani na vijijini, wameibuka hivi juzi tu.
Au uswahilini, wamehamia siku hizi tu baadhi yao.
ReplyDeleteHii ni blog ya 3rd class Tanzanian.