mh. akukweti (suti) akiwa na mkuu wa mkoa wa mbeya mh. john mwakipesile (kaunda suti, kulia) na mkuu wa wilaya mbeya mh. leonidas gama na viongozi wengine akikagua soko la mwanjelwa mbeya juzi, siku moja kabla ya kupata ajali ya ndege na kujeruhiwa vibaya na kumpoteza dada teddy nyantori aliepiga picha hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi uko kamili ni kithungu tu ndiyo iz not richabo lakini hiyo sio neno tunakukubali.

    ReplyDelete
  2. Michuzi,

    nimesikitika sana kusikia kuhusu Kifo cha Dada Teddy, alikuwa rafiki yangu mzuri sana. Kwa kweli I have lost a good friend. Na umbali huu nashindwa nifikishe pole zangu kwa familia yake.

    Mungu amlaze phali pema peponi. Teddy, you will be missed! Mpe pole na mume wake maana naye ni mwandishi na walikuwa wote ofisi moja. Poleni sana wanahabari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...