
mh. akukweti (suti) akiwa na mkuu wa mkoa wa mbeya mh. john mwakipesile (kaunda suti, kulia) na mkuu wa wilaya mbeya mh. leonidas gama na viongozi wengine akikagua soko la mwanjelwa mbeya juzi, siku moja kabla ya kupata ajali ya ndege na kujeruhiwa vibaya na kumpoteza dada teddy nyantori aliepiga picha hii


Michuzi uko kamili ni kithungu tu ndiyo iz not richabo lakini hiyo sio neno tunakukubali.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeletenimesikitika sana kusikia kuhusu Kifo cha Dada Teddy, alikuwa rafiki yangu mzuri sana. Kwa kweli I have lost a good friend. Na umbali huu nashindwa nifikishe pole zangu kwa familia yake.
Mungu amlaze phali pema peponi. Teddy, you will be missed! Mpe pole na mume wake maana naye ni mwandishi na walikuwa wote ofisi moja. Poleni sana wanahabari.