Home
Unlabelled
coventry
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
safi nawatakia heri wasomi wetu
ReplyDeletepoa wasomi wamependeza, ila wapige kitabu kweli kweli.
ReplyDeleteMichuzi kweli unaibua mambo mengi
ReplyDeleteHuyo mshikaji mrefu kuliko wote upande wa kulia ni Jenard Lazaro, kama una email yake naiomba tumepotezana muda mrefu sana.
Genard, tuwasiliane kaka, kwenye email asintoo@yahoo.com, nitakwambia mimi nani
Michuzi kama una email yake nipe nimtwangie message
Kweli kuna watu wa uzalendo. Mimi siwezi kufunga safari kwenda kumwona rais, hata iweje kwa sababu hata badilisha situation yangu kwa mimi kumuona. Message itakayotolewa akiwa hapo nitaipata online. Siwezi kuacha kuingiza dollar kwenda kumwona rais, hapo uzalendo umenishinda kabisa. Heri yao wazalendo.
ReplyDeleteJamani watanzania bomba kweli mademu kwa men, mmependeza sana. Sasa sikieni mkimaliza masoma rudini kuoa/olewa nyumbani ili mbegu zisipotee
ReplyDeleteHAPO HAKUNA HATA MTANZANIA HALALI.WAKIMBIZI WOTE WAMEPEWA NYUMBA CONVENTRY.WAMEJILIPUA NA WE MSHIKAJI UNAE MTAFUTA HUYO JAMAA HAPO HUWEZI KUMPATA KWANI SASA HIVI ANAITWA JOSEPH KABILA ILA LA UBATIZO NI PAUL KAGAME.
ReplyDelete..brother hapo kwenye picha kulia kidogo..mambo gani viatu vya njano tena
ReplyDeletewewe sina makosa, unadhani kwasababu wewe umejilipua basi na kila mtu kajilipua?
ReplyDeleteWananchi, kwenye background ni daraja la mto rifiji au nini? mbona sijaona mto hapo?
ReplyDeleteAnon unayeulizia mto chini ya daraja kweli inabidi usafiri uone nchi za watu zilivyojengwa....sio lazima kuwa na mto ndio watu wapite chini/juu!!. Msongamano wa magari hapo bongo unasababishwa na kutokuwa na overpass zinapohitajika, ukiuliza unaambiwa hatuna hela! Tuna safari ndefu!
ReplyDelete