wadau wanaobukua chuo kikuu cha coventry university wakijiandaa kwenda landani kumcheki jk taun majuzi. huyo mtasha ni mkurugenzi msaidizi wa soko la wanafunzi wa coventry toka afrika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. safi nawatakia heri wasomi wetu

    ReplyDelete
  2. poa wasomi wamependeza, ila wapige kitabu kweli kweli.

    ReplyDelete
  3. Michuzi kweli unaibua mambo mengi

    Huyo mshikaji mrefu kuliko wote upande wa kulia ni Jenard Lazaro, kama una email yake naiomba tumepotezana muda mrefu sana.

    Genard, tuwasiliane kaka, kwenye email asintoo@yahoo.com, nitakwambia mimi nani

    Michuzi kama una email yake nipe nimtwangie message

    ReplyDelete
  4. Kweli kuna watu wa uzalendo. Mimi siwezi kufunga safari kwenda kumwona rais, hata iweje kwa sababu hata badilisha situation yangu kwa mimi kumuona. Message itakayotolewa akiwa hapo nitaipata online. Siwezi kuacha kuingiza dollar kwenda kumwona rais, hapo uzalendo umenishinda kabisa. Heri yao wazalendo.

    ReplyDelete
  5. Jamani watanzania bomba kweli mademu kwa men, mmependeza sana. Sasa sikieni mkimaliza masoma rudini kuoa/olewa nyumbani ili mbegu zisipotee

    ReplyDelete
  6. HAPO HAKUNA HATA MTANZANIA HALALI.WAKIMBIZI WOTE WAMEPEWA NYUMBA CONVENTRY.WAMEJILIPUA NA WE MSHIKAJI UNAE MTAFUTA HUYO JAMAA HAPO HUWEZI KUMPATA KWANI SASA HIVI ANAITWA JOSEPH KABILA ILA LA UBATIZO NI PAUL KAGAME.

    ReplyDelete
  7. ..brother hapo kwenye picha kulia kidogo..mambo gani viatu vya njano tena

    ReplyDelete
  8. wewe sina makosa, unadhani kwasababu wewe umejilipua basi na kila mtu kajilipua?

    ReplyDelete
  9. Wananchi, kwenye background ni daraja la mto rifiji au nini? mbona sijaona mto hapo?

    ReplyDelete
  10. Anon unayeulizia mto chini ya daraja kweli inabidi usafiri uone nchi za watu zilivyojengwa....sio lazima kuwa na mto ndio watu wapite chini/juu!!. Msongamano wa magari hapo bongo unasababishwa na kutokuwa na overpass zinapohitajika, ukiuliza unaambiwa hatuna hela! Tuna safari ndefu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...