Home
Unlabelled
dua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuziacha Uhuni mbona hakuna picha???
ReplyDeleteMZEE MICHUZI, SIYO VIZURI KUIGNORE MAONI YA WATU. TUMEONA ULIKUWA KARIBU SANA NA WAKINA RUPIA WA BOSTON KWA KUTANGAZA KIFO MA MISAADA YA KUULETA MWILI WA MAMA YAO ANASTAZIA RUPIA. NA WALIKUSHUKURU SANA KATIKA MAONI YAO WENYEWE WANA NDUGU.
ReplyDeleteSASA KULIKONI?? TUMEULIZA MAANA KWENYE VICHWA VYA HABARI HAPA TUKAZANI UTAKUWA UMEARIFIWA PIA KUWA MWILI ULIFIKA JUMAMOSI USIKU? NA MAZISHI JUMAPILI? WALAHI TULITENGEMEA KUKUONA NAWE BEGA KWA BEGA KUANZIA AIRPORT KAMA ULIVYOFANYA KWENYE MISIBA YA MAZULA NA NKYA.
MBONA HUKUWEPO? ULITIMULIWA? SIO KAWAIDA HASA UKIZINGATIA ULISHIRIKIANA NAO KWA KARIBU.
TAFAZANI KAMA ULIVYOKUWA UKITUJULISHA, TUJULISHE TENA? JE ALIFIKA SALAMA SALIMINI? KILA KITU SHWARI?
AHSANTE.
Michuzi, picha umesahau?
ReplyDeleteMichuzi!
ReplyDeletePole na safari. Picha unatembea nazo mfukoni, au unazitafuta "Michuzi" kwanza?!
Mazishi ya waislam safi sana!no complictions,unazikwa kawaida sana hata kama ulikuwa na cheo kikubwa kiasi gani.Wangekuwa wenzetu kaburi limejengwa,jeneza la bei mbaya,muziki hadi makaburini,sare nk,HIYO SAFI SAAAAN.
ReplyDeleteComplications zipo hata kwenye Uislamu.Watu wote hawazikwi sawa.Si unaona huyo kafunikwa na bendera ya taifa.Mlalahoi wa kawaida huwa anazikwa hivyo? Na gharama hayo madege ya kubeba maiti kupeleka huko kutoka Afrika ya kusini hadi mtwara je? Ingekuwa kwenye uislamu hakuna Complications pia Angezikwa huko huko South Africa alikofia.Complications zipo acha kuzuga ziko kuanzia gharama hadi sheikh atakayezika.Gharama na complications za kuzika zinatofautiana kwenye dini zote kutegemeana na hadhi ya mtu aliyekufa.Tusidanganyane hapa kwenye blog.Hata kama huwa siendi kusali huwezi kunidanganya kirahisi hivi.Waislamu hapo juu waongo!!!Complications zipo.
ReplyDeleteMICHUZI,
ReplyDeleteJE KUNA HABARI ZOZOTE KUHUSU INVESTIGATION.??
KAMA WALIVYOSEMA WENGI, KULIKONI, INAKUWAJE? SOKO ALOKWENDA KUFUNGUA AKUKWETI LILIUNGUA CHAKARI.....NA NDEGE ALIYOSAFIRIA PIA IKAPATWA NA MKASA ULOSABABISHA KIFO CHAKE,
SIO BURE? WATANZANIA TUNATAKA MAJIBU HAPA.
NAUNGANA NA ALIYESEMA COMPLICATIONS ZIKO TU KOTE. MIMI NAKERWA SANA NA WATU WENYE UPEO MDOGO WA KUTAFSIRI MAMBO. KWANZA 'COMPLICATIONS' NI RELATIVE TERM. NAKUBALI KUWA KAMA HAMNA COMPLICATIONS ANGEZIKWA AFRIKA YA KUSINI. TENA WAISLAMU HADI AITWE SHEHE NA ANALIPWA. TENA KUNA PROCESS ANAZOFANYIWA MTU ALIYEKUFA USISEME. HUYO ALIYESEMA PALE JUU NADHANI UISLAMU HAUJUI, ANAUSIKIA TU. WANGEOGESHA MTU ALIYEKUFA HADI NDANI YA UTUMBO KAMA HAMNA COMPLICATIONS? WE ACHA KUSEMA BWANA! HALAFU UAMUZI WA KU-COMPLICATE NI WA FAMILIA SIYO WA DINI. INGEKUWA DINI BASI KWANINI BAADHI YA MAKABURI YA WAKRISTU HATAJENGWI? SI KILA MKRISTU ANA UWEZO. ULIZA ALIPOKUFA MTOTO WA MENGI WALIGHARIMIA KIASI GANI NDIO UTAJUA HAKUNA CHA DINI KATIKA GHARAMA YA MAZISHI. USIONGEE PUMBA KATIKA BLOG BWANA. HUYU WAZIRI ALIYEFARIKI AMEGHARIMIWA SANA. MAITI YAKE IMESAFIRI KWA NDEGE, TENA YA KUKODIWA, WAKATI ANGESAFIRISHWA KWA AIR TZ KATIKA JENEZA, LAKINI WAKAKODI NDEGE, KODI ZA WALALAHOI. NA FAMILIA IKACHUKULIWA KWA NDEGE TOKA DAR HAD MTWARA NK. NA MISAFARA YA JK, PM na ujumbe maalum wa serikali. Jumla ya ndege 3 kwaajili yake. Wewe acha kutuchachafya tusiokuwa waislamu. Najua baadhi yenu waislamu ni watu wa kuibua hoja za kijinga kuleta shari katika nchi yetu.
ReplyDelete