trupu la global scouting bureau (gsb) leo neshno, tayari kwa zoezi la kuvumbua na kuendeleza vipaji vya soka kwa vijana bongo. toka kulia ni john barnes, les ferdinand, jack pemba, afande kipingu, warren barton, rais wa gsb james gamble, eliud pemba, dokta mwankemwa na mdau wa gsb

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Michuzi hivi huwa unatumia vigezo gani kusema huku kushoto huku kulia? Nikisoma maelezo yako naona kama vile una maana toka kulia. Duh mshikaji vipi. Wangekuwa rangi moja tu na siwafahamu ningejua Kipingu ni huyo mzungu mrefu. Lahaula hiyo plastic surgery kafanya lini?

    ReplyDelete
  2. kaka Michu hivi kontrovesi ya TFF na Jacky Pemba ni nini? maana tuliambiwa tapeli lakini tunawaona hawa mabwana wamekuja kweli sasa inakuwaje?

    ReplyDelete
  3. Mhh kwakweli Jack Pemba nimemkubali siyo tapeli kama Tenga na TFF yake walivyotaka tuamini,naanza kuingiwa na wasiwasi na utendaji wa TFF ya Tenga pia wanaonekana kama wale wale tu sema hawa wanajua kupangilia maneno tofauti na Ndolanga aliyekuwa msema hovyo.Kumleta mmoja kati ya legends wa anfield John Barnes,na kumleta mpachika mabao mahiri wa zamani Les Ferdinand siyo jambo dogo! nakupongezeni GSB nakupongeza sana Jack Pemba!

    ReplyDelete
  4. Sasa kaka mbona habari za muhimu unazitoa za wahujumu uchumi tanzania....haya fanya unavyotaka weye baba

    ReplyDelete
  5. Pemba umechanganya, umepataje dili hii.ulikuwa lost sana miaka ya 90 mwanzoni ulipokuwa unaishi upanga karibu nna mfaume
    mpepe eliudi

    ReplyDelete
  6. WALISEMA SANA OHH JACK PEMBA TAPELI OHH HAWEZI HANA PESA... . SASA AMEAMUA KUWAONYESHA KUWA ANA NIA HASA YA KUKUZA VIPAJI.

    ReplyDelete
  7. Vipi Serikali ikianzisha shule ya vipaji vya michezo kama ilivyo Cameroon,Togo,Ghana na Ivory Coast?
    Hapo tutapata ma Scout wanaotumwa na vilabu sio wafanya biashara.Mfano Les na John wana husika nini na gsb?
    Tunataka tuone vijana wetu wanaendelea kama akina Drogba,Toures(Kolo &Yaya) Eboue,Zakora, Essien ,Eto na wengine wengi.

    ReplyDelete
  8. jack pemba mwanabibi ajambo huna haya umeambiwa huyo mke wawatu laki usikii hiyo sio sifa tabia mbaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...