
madenti wa imf wakipongezana baada ya kusevu kwenye soo ya moto uliolipuka kwenye maktaba ya taasisi hiyo muda mfupi uiliopita. wanafunzi kadhaa walijeruhiwa wakati wakiwa wanasalimisha maisha yao. mmoja wao aliumia vibaya sana kiasi cha kukimbizwa hospitali akivuja damu vibaya sana. chanzo cha huo moto, ambao uliwahi kuzimwa, hakijulikani ingawa baadhi walisikika wakituhumu shoti ya umeme.


poleni wanafunzi wote,wahadhiri na wafanyakazi wa IFM ila tunashukuru kwamba maafa hayajawa makubwa.sie wanajumuiya wenzenu tulioko ng'ambo tuko pamoja nanyi na tunaomba hatua za makusudi zichukuliwe ili hali kama hiyo isijirudie tena na chanzo cha moto huo kidhibitiwe.tuna imani masomo yataendelea kama kawaida ili tuendelee kutoa elimu na kusumkuma mbele gurudumu la maendeleo la nchi inayojikongoja.
ReplyDeleteasante michuzi kwa taarifa za haraka haraka, wape pole wote walioumia kama utapata mnafasi ya kuwaona
ReplyDeletemzee nanga na dingi, wazima?
ReplyDeletePoleni Ndugu zangu.Hiyo ndio Miundo Mbinu yetu.
ReplyDeleteVile Vitabu vyetu vichache vimesalimika kweli?
POLENI SANA NDUGU ZETU MUNGU MKUBWA HAKUNA MAAFA MAKUBWA NA POLE KWA ALIYEPATA MAJERUHI SANA.
ReplyDeleteNI VIZURI KUJUA CHANZO ILI JANGA HIKO LISIJETOKEA HUKO MBELENI
Poleni sana!
ReplyDeleteDah! Ni jambo la kusikitisha sana katika uwanja wetu mfinyu wa elimu ya juu! Poleni sana jamani, ila wakati umefika wa serikali yetu kufanya ukaguzi wa mifumo ya umeme kwenye sehemu zinazojumuisha watu wengi kama vyuoni shuleni hospitalini na kadhalika. Majanga mengi yamekuwa yakisababishwa na uchakavu wa mifumo ya umeme na vifaa vinavyohusika na hayo, hivyo hatuna budi kuwa makini kwani maisha ni ya thanani kuliko kitu chochote. Siwezi kusema uchakavu wa mfumo mzima wa umeme ndio umesababisha kinachotusikitisha humu, la! mimi si mhandisi na wala sijashuhudia, lakini katika matukio meni yaliyopita hiki ndicho kimekuwa chanzo kikubwa sana cha majanga yasiyotarajiwa. Ni vyema tukiyaepuka kwa kuchukua tahadhari mapema.
ReplyDeleteNi vizuri pia nikaipongeza idara ya zima moto kama kweli walifanikiwa kuwahi eneo la tukio na kuuzima kabla haujateketeza sehemu kubwa. Inatia moyo! MTU ANAPOFANYA VIZURI LAZIMA TUSEME PIA, au sio jamani!
Mwisho kabisa naungana na wadau wengine kumuombea huyo aliyejeruhiwa ili apone haraka arejee masomoni! Japo pole twaitoa tukiwa mbali hivi lakini yatoka moyoni!
IFM hapo ndipo mnapo asembo (ASSEMBLY??)??? Najuta!!! kwani ni vigumu kujua idadi ya waliopona na walioumia,walionasa kama moto ungekuwa mkubwa......ushauri kwa Doriye!!aombe utawala wa viwanja vya Karimjee,Makumbusho ya Taifa au hata Botanical Garden muwe mnakusanyika hapo na sio barabarani
ReplyDeleteMpendakeroro...
mpendakeroro@yahoo.com
POLENI VIJANA WETU.
ReplyDeleteNINACHOSHANGAA KILA SIKU NI KWANINI HAKUJAFANYIKA JUHUDI ZA MAKUSUDI KUWAFUNDISHA (CREATE AWARENESS) WATU WOTE JUU YA UTUMIAJI WA FIRE EXTINGUISHER (KAMA ZIPO ANYWAY!!).
NADNAHI NI WAKATI MUAFAKA KUHAKIKISHA VIZIMA MOTO VINAKUWA MANDATORY KWENYE OFISI, INSTITUTIONS NA PUBLIC PLACES LIKE THESE. NAKUMBUKA MWAKA MPYA TRAFFIC POLISI WALINIKAMATA ETI NAENDESHA GARI HALINA FIRE EXTINGUISHER NIKAWAONYESHA KILE KI-MSHUMAA CHEKUNDU NIKAACHIWA, THIS SHOWS HOW IGNORANT THE PUBLIC IS.
NAOMBA WATU WAHUSIKE WAANGALIE UTUMIAJI WA VIZIMA MOTO. NAJUA SHERIA IPO, UTEKELEZAJI VIPI? WAKAGUZI WA VYUO, MASHULE NK VIPI KUHUSU HILI???
MIMI NIKO BONGO BWANA HUKU KUMEKUCHA HUJAWAHI ONA PESA BWELE BWELE HOW COULD I DRIVE A LEXUS IN MICH.
wewe kilimanjaro acha kifront-front., hakuna zima moto aliyekaribia hapa! ila tulitafutana!! warembo wetu woote walifika chini wakiwa peku!(yaani hawakeweza kuvaa viatu tena!) bwana mmjoa alitoka chooni nduki kila alikopita palitawala harufu ya choo wakati maji yalikuwa yamekatika cjui alisevu vp kupanda daladala!
ReplyDeletejlkamala@yahoo.com